Mimi ni kijana miaka 27 mwajiriwa ktk idara 1 serikalini, vilevile nko mwaka wa mwisho ktk moja ya chuo kikuu hapa mjini. Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha hapo baadae...
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
Awe tayari kuzaa...
nafafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo
1.awe na hofu ya mungu mean ana sali
2.mkristo
3.awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea(understanding)
4.good looking chocolate colour au mweupe...
Mambo Vipi Wadau! It's Ma Hope That Tutashirikishana Mengi. Natafuta Msichana Mkatoliki Anayependa Kuimba Kwaya, Umri 18-25. Umri Wangu Ni 26, To Be Ma Lovely Wife After Few Months Later...
Hi all! natafuta marafiki wa kike na kiume kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kushauriana different matters e.g ujasiriamali, masomo, namna ya kukabiliana na matatizo mbalimbali na maisha kwa...
Hi wadada wa JF,full kufunguka mtoto wa kiume hapa umri 30 yrs, kwa mdada anaependa kuinjoi nami na kupotezea mastress, Plz ni PM.Kama sio mdada don't comment.
29 yrs male..living in Dar es salaam..lonely, a woman to be my better half.. any kind , not soo tall..soo thin..any religion..any skin colour..Working..educated..not below A...
Kwa wale girls waliobaki hostel mabibo only, natafuta company ya kupiga stori during evening hours, dinner pamoja na kubadilishana mawazo. I'm a male btn 25-35yrs of age and I ain't a student
jamani natafuta mwanamke wakunipa mapenzi stress free...yaani sie nikupeana company bila kuudhiana na kuja hapa MMU kuja kuomba ushauri wa mahusiano yetu.
awe mweupe
mrefu sio chini ya 170cm...
Mimi ni mvulana wa miaka 24, natafuta girlfriend:
Awe na miaka kati 18 - 19.
Awe mkristu, mwenye nidhamu na heshima.
Awe na mapenzi ya kweli.
Awe mweupe au maji ya kunde.
Awe mrefu.
Asiwe mbeya...
Natafuta rafiki wa kike wakubadilishana mawazo, huku nikusubiri ajira baada ya kuhitimu masomo yangu. Awe na UPENDO NA UKARIM WA KWELI. Tuwasiliane kupitia malimangosha@yahoo.Co.Uk
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe...
Ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni ya chuo, nafanya kazi za kujitegemea, mrefu wa wastani, mweusi kwa rangi, umbo la wastani,
Nahitaji msichana mwenye umbo la kawaida...
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly...
No matter which colour u ar o religion, what a care z ya ur self n ya.age 23-45 plz very important.halla me at 0713208553 kiddy_adams@hotmail.com and final let's share that place attached here frnd.
Nipo serious katika swala hili na nimeamua kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kutafuta mwenza wa maisha kwani maisha ya ubachela yana vishawishi vingi na masha ya kuruka ruka ni ya hatari...