Kama umesema ndio basi, jitahidi kunpm.Am very serious to that who will be serious.Just PM Me
Muhimu:awe mkristo,mweusi na mwajibikaji.Elimu muhimu even up to diploma level just acceptd
Karibu.
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda...
Friends i have found a great site for swahili.........place to chat,dating,,,etc
first 100 people from now up to april 24 will get 2yrs Gold membership
please hurry up to sign up...
Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na...
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nahitaji msichana mwenye mapenzi ya kweli na si ya msimu,vigezo,awe mhaya,mkristu na mwenye kazi yake ama kajishughuri ka kumwezesha kuingiza kipato ili maisha...
salaam wana jamii!
katika pita pita zangu nimekutana na site ya swahili,dating site........... 100 people to join will get 2years Gold membership.jina la site ni Online Dating at Swahili Singles...
kuna rafiki yangu amenipa website ambayo yeye ameitumia kupata mchumba au waswahili wanasema totoz....sasa wana week kama moja hivi......
jamani chukuwa time yako kama dakika 3 hapa Online...
jamani wana jamii kuna site mpya ya kutafuta mchumba ya east africa.join na uwanze kutafuta mchumba
Online Dating at Swahili Singles
ni site mpya,lakini inakuwa haraka.....jiunge ili network...
Naitwa Joseph,natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 18-25,mnene kiasi,mweupe au maji ya kunde na awe na urefu kuanzia ft 4.7-6.0,dini awe Rc,elimu kuanzia kidato cha nne na kuandelea.Aliye...
hii ni seriouz,me kijana 23yrz,nina mapenz ya kweli kbisa kwa ataenipenda..nina elim nzuri,sina kaz bt kusaka naweza,so natafuta bint asiwe mnene, anaejiweza i mean ana kazi,ataenipenda as...
Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa...
Kwa binti wa Kitanzia mwenye urembo wa asili asiyetumia mkorogo.Lakini LAZIMA AWE NA NDONYA katika sura yake!Napenda awe MGOGO au MMAKONDE!Elimu kuanzia kidato cha 4,umri kuanzia miaka 24!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.