vigezo na mashaliti: 1. awe christian na awe mcha mungu 2. awe anatoka kanda ya ziwa 3. awe atleast na diploma yoyote bali isiwe polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku 4. age range...
salaam,
nahitaji mchumba/mke
anayejiheshimu/muaminifu
mpenda maendeleo.
we can opt for ndoa ya serikali if islam
mmi ni mkristo safi, 30 years,umri wake uzingatie hili
frangerry1@gmail.com
Nakumbuka ilikuwa cku ya j4 ucku wa kuamkia j5 tulipokuwa tunajiandaa na mtihani wa jiografia,ndipo nlipopigiwa cmu n binti akiniomba aje tudiscuss naye akidai kuwa hlo somo lilikuwa gumu kwke...
nipo seriouz nahitaji mtu wa kusaidiana nae maisha mwenye vigezo vifuatavyo:-
age: 22 to 27
education: at least form 4 with valid credits
body type : slim and moderate tall
religion: christian of...
Nilikuwa na girfrnd tangu nlipoanza kdto cha kwnz n tulkuwa tunapendana sana! Baadaye nlipoingia kdto cha II,nliamua kuhama shule na ilikuwa n nje ya mkoa mwka 2009! Bahati mbaya hakuwa na cmu n...
Naitwa Hussein Juma wa Shy-town n nina umri wa miaka 21 sasa! Nimehtimu kidato cha nne mwka jana na nimefaulu kuendelea na masomo ya kidato cha tano&sita hvyo nasubr selection nipangiwe! Napenda...
Kuna mdada tuna kaa nae kitaa,ana miaka 24 ana hitaji mchumba kuanzia miaka 26 na kuendelea,hachagui dini wala kabila,kwa mwanaume aliye tayari awasiliane naye kwa namba zifuatazo,0789 555588 au...
Kama wewe ni msichana wa umri tajwa hapo juu tuwasiliane kama unataka kuolewa mwaka huu lakini uwe mwenyeji wasingida au tabora kabisa,uwe tayari kupima,uwe tayari kutumia muda wako kujua ukweli...
Anahitajika msichana mwenye umri wa miaka 19 hadi 23 awe na sifa zifuatazo:- anaye jipenda, muelewa, mwenye fikra chanya na aliye na msimamo, urefu wa futi 5.5 na kuendelea, asiwe mnene au...
Mimi ni ME mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mchumba vigezo vifuatavyo.
Mchapakazi
Umri wa kuanzia miaka 24-26
Mwenye mwili wa ukubwa wa wastani
Rangi ya kunde
Mrefu wa wastani
Elimu yoyote...
Am mohamed 24 nipo dar natafuta mchumba umri kuanzia 25-35 dini yoyote sichagui kabila elm yoyote ila awe mwenye kujishughulisha,me ni muajiriwa kwnye clinc moja hapa jijini plz km upo cirius...
Kuna tofauti gani kati ya tabia za play boy na mwanamke malaya, je anchokifanya play boy ni sahihi na sio kama uhuni anaoufanya mwanamke malaya.. COMENT
Habari zenu ndugu zangu
Mimi ni mwanaume miaka28 natafuta mwanamke WA KUISHI NAYE MAISHANI anayejitambua ambaye atakuwa rafiki yangu kwa mwaka mmoja, tukiendana ndoa itafungwa 2014. Naomba awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.