Habari wanawake wa kibongo,imekua nikituma nyuzi kumsaka mrembo humu nakatishwa tamaa na wanaume kua nimepotea,ila naamini sijapotea kina dada warembo.mimi nina miaka 27 na napenda kua na mwanamke...
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali
Kama interested...
Stop getting involved in relationships for the wrong reasons...relationships must be chosen wisely...its better to be alone than to be in bad company..there's no need to rush...if something is...
Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke...
Naitwa Kelvin,nna miaka 26,home ni Mwanza ila kwa sasa nipo masomoni Dodoma,chuo kikuu.Natafuta msichana aliye serious na tayari kuwa mchumba wangu na hatimaye ndoa kuanzia miaka 18-24.Mimi ni...
Vigezo na Mashariti:
1. Awe christian na awe mcha mungu
2. Awe anatoka kanda ya ziwa
3. Awe atleast na diploma, bachelor, master yoyote bali isiwe ni polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote...
am looking for a girl friend who have 19-23 years, no matter what level of education she have..
aiming for charting and changing ideas.. i will be much happy a day i get that friend..
Ladies this is your ticket to fly to US, Our new DREAM LOVE international dating and marriage agency in Tanzania itaanza kuregister Tanzanian ladies who have interest or dreams to Marry or date a...
Wadau, habari za jioni. Kabla sijatoa hoja napenda nianze kwa utangulizi. Nimekuwa member hapa JF kwa muda kidogo, naamini ni sehemu ambayo kuna mkusanyiko wa watu wengi ambao ni wastaarabu na...
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Dar Es Salaam natafuta mke wa kuoa.
Kwa hiyo nimeona leo nije hapa kuona kama nitapata ninachohitaji
Natafuta msichana ambaye yupo tayari (serious) kuolewa...
Hey.
Nina mke na watoto3,sasa naitaji kuongeza mke wa pili.dini yangu ni islamic,awe muislam pia aliyesoma dini japo kidogo.
Elimu ya dunia ni japo kiwango cha kujua kusoma na kuandika.
Umri...
Natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubhat nae pia aweze kuwa mpenzi wangu, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 23. awe na asili ya kiarab au msomali au asili ya mzanzibar. Mimi naishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.