Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo: 1.Awe na heshima 2. Awe mvumilivu 3. Mchapa kazi 4. Mwenye huruma 5. Awe mweupe wa wastani 6. Awe na mwili wenye ukubwa wa wastani 7. Awe na urefu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana nilitoa tangazo katika safu hii. Jamani niko sirias. Leo narudia tena. Natafuta mchumba mwenye heshima,huruma, uvumilivu, mchapakazi, mweupe wa wastani, mwenye mwilli wenye ukubwa wa wastani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mimi ni kijana wa kiume (23) natafuta mchumba dini yoyote.... kabila mchaga, awe amfika angalau form six........... umri awe na miaka 18-23...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mtanashati, mtiifu, mpole, na mwenye kujali hisia za mtu. umri wangu ni miaka 24. natafuta rafiki wa kike(girlfriend) na kama ikitokea nikaendana nae kitabia basi awe mke wangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari JF. Mimi ni kijana na umri wa miaka 25, Mtanzania, dini Mkristo RC,elimu mwaka wa 3 degree ya IT. Natafuta msichana anayependa maendeleo na chapa kazi.Sina ubaguzi wowote kwan wote ni wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta rafik wa kike,umri kati ya miaka 22 had 24 na awe mkristo na ambaye yupo tayar kuwa nam
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Naitwa Haji Rashid,,,,nina miaka 23,,ni mweupe kidogo{maji ya kunde},,,urefu ft,5.6,,,umbo langu ni la kawaida,,natafuta msichana mrembo awe na miaka 18/23,,,anayejitambua vizuri,asiwe mapepe,awe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwanini watu huwa wanaumia sana katika suala zima la mapenzi?
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Mi ni kijana nadhifu Natafuta msichana awe maji ya kunde, miaka 24-27,mkristo, msomi angalau Diploma,mcha Mungu, mwenye kujituma,mwaninifu mtii,mpole wastani Asiwe mlevi,mvuta sigara, Mi ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta mchumba sifa awe na heshima pia mavazi ya kujieshimu umri 20-30 ukijiona unasifa hizo usisite nitafute kupitia 0713422764
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta msichana wa kunifundisha maana ya kupenda. Angalizo-ni kwa wasichana peke yake.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
rb
:A S-cry: nobody chat wit meh why
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pm if serious
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari ndugu, mimi ni kijana wa kume ninaye tafuta binti ambaye twaweza kushabiiana na kupatana vyema kisha tujenge family ABOUT ME: Umri:29 kabila:mjaluo/mmasai Kazi:mwajiriwa Rangi:mweusi japo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nina miaka 31,ninaishi Mbeya na kufanya biashara hapa hapa Mby.natafuta binti atakayekuwa mke wangu mpenzi.awe mkristo,
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nipo morogoro chuo kikuu sokoine,natafuta mchumba wa kuoa.Nina umri wa miaka 29.sichagui rangi wala kabila.Awe mkristu.Aliye tayari tuwasiliane kupitia email josephmtonga@ymail.com
0 Reactions
20 Replies
2K Views
habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mchumba awe maji ya kunde niweze ishi nae sibagui dini kabila wala rangi!:shock::shock:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
'The power of asking' asking whtever u want and u might get it. Let me take ths chance as a very important oportunity in my life to scream out loudly asking if there is a someone to mary me...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ivi watu wanao tafuta wachumba apa jf wanafanikiwa, na wanawapata wa dizaini ileile waliokua wanaitaji,au inakuaje kwawalio fanikiwa mpaka wakafunga ndoa ebu tujuzeni.
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…