Ifuatayo ni sehemu ya sms niliyoiona kwenye simu ya rafiki yangu jana jioni:-
MESSAGE:- Amini kwamba ni wewe pekee uliyemo ndani ya moyo wangu.
RECIPIENTS:- Amina, Chiku, Rose, Conso, Asha...
HABARI ZENU WANA JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta rafiki wa kike sifa zangu 1.mrefu 2.white 3. Nina kifua kipana 4 .nimejazia 5. Siyo bausa 6. Mpole 8. Mcheshi 9. Sijui...
habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe...
Jina Langu: Tina
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36
Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship
Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37
Jinsia ya rafiki: awe...
Nimetembea dunia mashariki na magharibi,,nimetembea mataifa kumi na moja katika maisha yangu,nimelala na wanawake wanaozidi mia moja,,,wakuu naombeni niulize swali,,nina umri wa miaka 37 na...
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......
Natafuta msichana wa Kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 23-29..mkristo...msomi...mzuri wa sura,umbo na tabia na awe tayari kupima VVU. Mwenye sifa hizo please ajitokeze
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba
Mimi ni mdada wa miaka 29. Natafuta rafiki na kama mambo yakienda vema we can share the rest of our life together.
Sifa zangu
Dini - mkristo
Mrefu wa wastan around 168cm
Maji ya kunde...
*Habari zenu wana jamiiforum wenzangu? Naitwa Sagao niko Mbeya, natafuta marafiki wa kuchat nao popote ulimwenguni, sina ubaguzi wa dini, kabila wala umri. Email yangu ni sagaonew@gmail.com na...
naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea