Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua.
Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe...
Salaam,
Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote.
Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa...
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui...
Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma.
Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake...
habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala
natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia...
Wadau nafahamu watu wana mahitaji tofauti tofauti hapa. Nimeona kuna wadada/wanawake wenye uhitaji mtoto na huwa wanatafuta mtu mwenye muelekeo ili waweze kupata mtoto pamoja.
Sasa ipo hivi; Mimi...
Sifa zangu
Naitwa - S
Umri -29
Makazi - Dar
Elimu - Degree
Kazi - Nimeajiriwa na pia nimejiajiri
Dini - Mkristo(RC)
Rangi - Mweupe mrefu
Sifa za ninayemuhitaji
Dini yoyote kikubwa upendo
Awe...
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.
Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa...
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua...
Ndugu kwema naitaji mke mwenye kumtumain mungu na kumwabudu Niko dar nimeajiliwa na srk naitaji mwanamke mwajiliwa awe na uwelewa na umakin na akiwa ameajiliwa srkn ni vzr sana
Habari wana jf kama nilivotanguliza hapo juu mimi ni kijana wa miaka 29 najishughulisha na biashara kariakoo dsm natafuta mwanamke wa kuanza naye maisha kuhusu umri kuanzia miaka 27+ chini ya...
Sina mambo mengi ndugu zangu, nadhani kichwa cha habari kinaeleweka.
Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto kadhaa na tunaishi kwa upendo na amani kabisa na familia yangu, ila nahitaji mwanamke...
Habari za Jioni ndugu zangu wote!
Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi.
Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana...
Naitwa Samweli
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali. Nahitaji mwanamke atakayekua mke wangu...
Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi.
Mimi siwezi na niseme si...