Habari naitwa Elifuraha Lyimo niko Dar es salaam mimi nna umri wa miaka 30 natafuta rafiki wa kike wa miaka 20-25 ambaye atakuwa mke wangu aliyetayari aje pm ni kwa wanawake tu ahsante.
Wakuu salaam.
Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mila na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiliki wa moyo wangu ni...
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi na kufanya kazi Nairobi Kenya. Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo:
1. Umri kuanzia miaka 22 hadi 24.
2. Awe mkristo.
3. Awe na utayari wa kuolewa na...
Habar wana jf.
Uzi huu ni kwa ajili ya kutafutana.kinachotakiwa kufanya ni mtu aandike jina lake, umri wake, pamoja na anachotafuta halafu wanakuja pm.
Naanza na mimi.
Jina: Edo kissy
Umri: 18...
Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio...
Natafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.
Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo...
Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na...
Habarini Wana Jamiiforums,
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye umri wa miaka ishirini ya mwanzo (early 20's), nahitaji mwanamke wa kuishi naye na Mwenyezi Mungu akijaalia kuishi kama mke na mume...
Wakuu natumaini mko poa. Mimi ni kijana nina umri miaka 30, natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye Mungu akijalia ndoa. Sina mtoto wala sijawahi kuoa.
Mimi nimejiajiri, mrefu...
Well hello to all you charming women of JF world! I can't wait to make friends with all of you (not!).
So I'm pretty much looking for any kind of relationship atm, whether it be purely platonic...
Habari zenu wana JamiiForums nahitaji mke alie na utulivu wa nafsi na siyo mwenye tamaa. Awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa, umri awe 18-32.
Awe mweusi au mweupe, pia awe na umbo zuri (shape)...
TAFADHALI NAOMBA ZINGATIA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.
Habari wana jamiii forums, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana wa kitanzania.
Mimi ni mwajiriwa wa serikali...
Naishi kigambon Dar es salam, natafuta mchumba/ mume .
Umri wangu ni miaka 23
Urefu wa wastani
Elimu - diploma
Dini - mkristo
Sifa za mhitajika;
Awe mstaarabu , mengine ni kadri tutakavyokuwa...
Naitwa Samweli
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasbb mama yake alishafariki kwa ajali.
Nahitaji mwanamke atakaekua mke wangu...
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge.
I have a passion for Carpentry...
Habari zenu wanajf?
Nimekuja humu kwenye hili jukwaa kutafuta mwanamke anaeishi na VVU ili aje kuwa mke wangu.
Nina miaka 33
Nahitaji aliye serious tu
Umri kuanzia miaka 29 na kuendelea
Kwa...
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.
Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;
Umri: 22-30
Elimu : yoyote...
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location ...