Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37
Sifa
Awe mcha Mungu
Mwenye chura japo kidogo
Umri wake 30 mpak 34
Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa...
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu...
Habari humu ndani....
Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha .
Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri...
Habari zenu,
Natafuta mwanamke wakumuoa, umri wangu miaka 31, ni muumini wa Roman Catholic, nimejiajiri kwenye biashara za mazao yatokananayo na kilimo, naishi Moshi, Kilimanjaro, elimu yangu...
Habari,
Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo;
Muislam
Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini
Awe mfupi wakati(150-170cm)
Akiwa mmakonde itapendeza zaidi
Pesa...
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah.
Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa...
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Nahitaji rafiki wa kiume (kaka).
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya.
Pia awe mweusi na mrefu.
Awe mcheshi na mcha Mungu.
Awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Natafuta mwanamke wa kumuoa, umri wangu miaka 30, elimu yangu degree moja, kazi nimejiajiri, kipato endelevu, dini yangu mkristo, Nina mtoto mmoja. Mke wangu alifariki akaniachia mtoto, nipo...
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo...
Natafuta mpenz wa kuwa nae na Mungu akijalia tuje kuoana mbele kama tutaendana mimi napatikana Dodoma mipango kama uko tayari njoo PM umri usizidi miaka 28 na asiwe na mtoto na awe mkristu
Habari za Wakati Wanajamii!
Niko boared time hii ya saa 23:38PM, tarehe 11/9/2022..... If you're online at this time lets us make a nicely convo to our inboxes.
I prefer a girl/woman who we can...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee".
Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa...
29yrs old Fe
Living Dar es salaam
Bachelor degree
Employed by private institute
Single, no kids yet,ready for serious r’ship!
God fearing,humble,honest,loving and caring woman!
Looking for a...
Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake :
Dini : yoyote ile sijali
Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja
Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara...
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi...
Habari za Majukumu,
Nahitaji mwanamke alie serious tufahamiane tukiridhiana tabia awe mke.
1. Awe Mkristo na Mcha Mungu
2. Awe muajiriwa au mwenye shughuli zake binafsi
3. Umri 28-30
Sifa zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.