Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe. Mimi Nina miaka 32 Mjasiriamali Mkazi wa Dar es salaam. Mkristo Mnene kiasi,maji ya kunde...
1 Reactions
6 Replies
918 Views
Mimi ni kijana 36 years. Nimeajiriwa.... Somewhere (utajua baadae) Mkristo Maji ya kunde 173cm. 82kg. Mtu wa Mara. Niko Dar. ANAYEHITAJIKA: Age 24-29 au hata 30 sio mbaya. Dini mmh sio ishu Sana...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo. Niende moja kwa moja kwenye mada, Nina rafiki angu ambae tumefahamiana kupitia social network, hatujawahi nana nae. Ila huyu mrembo aliniweka wazi matamanio yake ya kupata...
2 Reactions
7 Replies
958 Views
Waa asalaam. Mimi ni muislamu, rejea na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mwanamke anaweza kuwa na urafiki nami aje PM. Sichagui kabila wala dini ninachotaka mimi ni kuheshimiana na pale...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
A'salaam aleykum warahmatullah wabarakaatu MTAFUTAJI Jina: xxxx Jinsia: mwanaume Umri: 30 Umbo: wastani Dini: Muslim Hali: nafata dini sawasawa Elimu: bachelor of social work Kazi: mfanyabiashara...
4 Reactions
9 Replies
973 Views
Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae...
7 Reactions
453 Replies
23K Views
Habari zenu ndugu zangu!!? Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25. Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo Mwenye upendo wa dhati Mwenye kunijali mm na familia...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
1 Reactions
15 Replies
832 Views
Mimi ni Kijana Me Umri 32 Rangi: Mweupe wastan Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri Sijawahi oa wala sina mtoto Dini: islam Elimu: Bachelor Degree Height: 5.7 Umbo : wastan si mnene wala...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Thread closed. [emoji1374]
17 Reactions
73 Replies
6K Views
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hongereni na Harakati Wakuu.. Baada ya kumkosa mtoto wa Kikenya na Mtangazaji wa BBC Ester Kahumbi Baada ya kuwa kumbe ameshaolewa na lijamaa huko kwao,nimekuja na ombi la connection.. Kuna...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Dear Tabu maneno I love you not only for what you are, but for what I am when I am with you. I love you not only for what you have made of yourself, but for what you are making of me. I love you...
2 Reactions
11 Replies
652 Views
  • Closed
Hilo jina la "mswati" limenifanya nicancel safari ya pm, utakua na wake wengi wewee
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Anahitajika mwanamke mpambanaji katika kila Hali kipaumbele anayeweza asiyemtumishi Awe tayari kufanya biashara na kuzaa mawasiliano 0764125128 Kwa maelezo zaidi kama una mtoto awe mmoja, umri...
0 Reactions
4 Replies
545 Views
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam. Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah. Vigezo vyake. 1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili. 2...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye maono na hamu ya mafanikio. Habari wakuu,mimi ni kijana mwenye elimu ya kidato cha sita.Umri wangu ni miaka 30,mkazi wa Dar es salaam. Natafuta rafiki wa kike...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi humu watu wakitafuta wachumba ila hakuna mrejesho wowote kama wanafanikiwa au laa..ngoja na mimi nitafute mchumba humu huwenda ikawa kweli Sifa zangu: Sex:male...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom