Sifa
Awe mtanzania
Umri 26-28
Dini yoyote kikubwa awe na hofu ya MUNGU kupitia dini yake anayo iamini
Kuhusu kazi so ishu sana kwa upande tutapanga tukiwa pamoja ni namna gan tuishi...
Maisha ni safari na ni siri ndefu na kila mmoja ya kwake, kuoa ni sifa ambayo mwanaume anapaswa kujivunia;
Natafuta mke wa kuishi nae sasa mpaka milele.
Sifa zangu:-
Ni mkristo
Ninaumri wa miaka...
Naitwa Richard 35 Mkristo naishi DAR Nina Familia Ila hitaji langu NIPATE rafiki mwanamke MTU mzima 30+ mpaka 50+ lengo ni kuwa namtu wa karibu zaidi na mwenye tija katika maisha ya kila siku...
Ninatafuta Mwanamke Mtu mzima wa kuwa naye Rafiki na kushauriana mambo mbali mbali ya Maisha.
Mimi n kijana wa Miaka 40, Mrefu, Mweusi Mcheshi. Nipo Dar es salaam Tabata.
Nitafute kwa kwa 0693...
Nina umri wa miaka 29 now, ninahitaji mwanamke wa kuoa ambaye yupo tayari na ataridhishwa na maumbile yangu( kibamia).
Uume wangu una urefu wa nchi 3.6 ukiwa umesimama na wembamba kiasi.
Kwa...
Nimeanza maisha , sina mwenza wa kuishi nae , uwezo wa kugharamia ninao , ila tu nataka mwanamke ambae anaweza kupika na kufua nguo vizuri ... nikifanikiwa kumpata nitamsaidia kwa hali na mali ...
Habari za majukumu,
Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye...
Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe.
Mimi sihitaji mtoto kabisa.
Mimi naishi Dar es salaam.
Dini yangu ni mkristo.
Kwa upande...
Mke anatafutwa wa kupanga nae maisha
Age: 18- 28
-Education ata list ajue maesabu ya pesa + na - awe anaweza kuwa business idea
-Aweze kujishughurisha kwa kazi ata kama amesoma sio ategemee...
Habari za uzima wapendwa natumai ni wazima wa Afya
Rejea mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwa ajili ya kusex tuu no serious relationship...
Kama mahaba mzigo, nitwike usinituwe,
Lau ni pande la gogo, liache silipasuwe,
Kama mahaba kipigo, niradhi kinisumbue,
Nipe japo kidogo, mwenzio nijilimbuwe
Kumekuwa na mvutano wa nafsi kati yetu wanaume, wengine kuoa kwa kufuata mkumbo, wengine kuoa kwa kuwa ana kipato kizuri, wengine kuoa kwa kuwa anaona umri unakimbia na mwengine kuoa kwa kuwa...
Helloo.. jamii friendszone.
This week natua Makao makuu ya nchi(Dodoma) nikitokea DSM, ningependa kupata mwenyeji au rafiki atakayekuwa mwenyeji wangu na atakeyenipa company pindi nitakapokuwa...
Habari za jukwaani,
NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano,
Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa...
Habari zenu ndugu,
Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa .
Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye
Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu
Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka...
Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi...
Habari!
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo,
1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50.
2. Awe mkristo
3...
Mimi nipo dar natafuta mchumba yaani rafiki wakike awe mkorea au mzungu ila awe na pesa sitaki wazungu wa kariakoo please na awe tayari kuolewa welcome pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.