Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
God over Everything Also God please give them hope patients and prisoners and to him nothing Imposssible. I'm 26 years old Muslim God fearing person Self-esteem Hard worker Government servant...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Ni mume Nina Mke na Watoto. Natafuta MTU wa kuchepuka naye weekend tu. Na siku Moja ya kazi. Awe dini yoyote, taifa lolote, rangi na Umri usizidi miaka 30. Asiwe mlevi wa kupindukia, awe...
2 Reactions
9 Replies
944 Views
Habari zenu, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye, najihisi mpweke...
30 Reactions
123 Replies
14K Views
Habari wana JF, Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar. Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Long story short: I am 34 yrs of age Tall Living & Working in Dsm Born in Dsm Bachelor degree Never married Christian (Not much devoted) A kind of a lady am looking forward to be my love...
3 Reactions
3 Replies
793 Views
Mwanamke mstaarabu,asiwe changu awe tayari kuwa nami kwa siju 5 kwa gharama zangu
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke, msafi msiri, asiwe mke wa mtu, ili nispendi nae kwa wiki 2, kila kitu kwa gharama zangu. asiwe malaya anayejiuza, asiwe mlevi wa kupindukia, awe anayejitambua, akiwa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za wakati huu mimi ni kijana wa kiume, Mkristo.. kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ... Nahitaji marafiki wa kike vigezo Awe mkazi wa Moshi au Arusha mjini, umri kuanzia miaka 18-26...
1 Reactions
8 Replies
634 Views
Sifa zangu: 1. Hustler 2. Sina nyumba wala gari 3. Mkulima 4. Monogamous 5. Mkristo. 6. Miaka 26 7. Mweusi; urefu futi 5+ 8. Elimu ya kawaida. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji: 1. Kabila: mha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba. Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Wakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa 1.miaka 30 2.mfanyabiashara mdogo 3.elimu , degree 4. mweusi mrefu 5. Mkristo Mke ninaye mtafuta awe 1.mkristo. 2...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jinsia: Kike Umri: 33 Dini: Mkristu/ mkatoliki Elimu:Degree level Kazi: Muajiriwa+mjasiliamali Sifa za mwanaume anayehitajika Awe anajitambua(ninj afanye kwa wakati gani, kwa nani, wapo na kwa...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Hbr za leo Wana jforum!! Natafuta mke,awe Elimu;diploma and above Umri:miaka 34 au chini Dini.mkristo Kabila: lolote Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!! Sifa zangu Mi Nina watoto...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu: Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano ORTHODOX ROMAN CATHOLIC LUTHERAN ANGLICAN PENTECOSTE HUDUMA ZA...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nipo dar kimakazi na mtu mzima ninayejielewa kimaisha na kifamilia na natafuta mwenza anayejielewa na asizidi umri was miaka 55t tuwasiliane kwa namba 0784355760
3 Reactions
15 Replies
741 Views
Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Jina: Aruun Mwanamilongo Kabila: Mnyamwezi Dini: Mkristo Shughuli zangu: Mwalimu na Mfanyabiashara Makazi: Dar es Salaam Umri wangu: 35 Martial status: Single Sifa za mwanamke: Umri wowote ule...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari, nahitaji Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 19 hadi 27 wa kuwa nae kwenye mahusiano serious yenye manufaa baadae. Kwa mengine mengi zaidi tutaelezana inbox. Karibu
3 Reactions
6 Replies
726 Views
Ndio, namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu, narudia kusema mwenye akili timamu. Umri kuanzia miaka 22 mpaka 30. Mimi mwenye mi pia nipo kwenye hiyo miaka. Awe Dar es Salaam Kingine...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom