Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Mimi ni Mwanamke Muumini wa Dini ya Kiislam (ISLAM-UNYEYEKEVU-MUISLAM) ni muajiriwa umri wangu miaka 30, sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Nahitaji...
Habari zenu ndugu Jamii Forum,
Nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hapo juu, haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora wa maisha yangu, kwa mawasiliano...
Kwema? Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo.
1.Asizidi miaka 30
2.Awe na uelewa muhimu wa maisha.
3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo la...
Dear future husband nakusubir kwa hamu kubwa iliyo kifani tuanzishe safari ya upendo wa agape pamoja [emoji173] moyo wangu unaniambia upo sehemu fulani lkn kutokana na hali nilionayo sahv ya...
Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa.
Natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za...
1. Kama wewe ni mwanamke.
2. Umri wako ni miaka 18 - 26
3. Una shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato.
4. Una elimu angalau ya kidato cha nne.
5. Unaishi Dar es salaam
Basi njoo PM...
Habari zenu waungwana.
Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili.
Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40.
Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara...
Naomba nichukue fursa hii kutafuta mwanamke ambaye hakika tutafunga nae ndoa sifa mtoto wakike ni lazima awe 1)MUISLAMU
2)Awe ana shughuli zake binafsi
3)Awe na upendo wa dhati
4) Suala la umri...
Hamjamboni wanajukwaa la Love Connect? Hope mnaendelea vizuri na majukumu yenu.Moja kwa Moja a ha niende kwenye mada husika.
Mimi Ni mkenya na ninaishi jijini Nakuru sehemu nakofanyia...
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi...
Habari Wana JF.
Naitwa parson,
Nina umri wa miaka 35,
pombe na sigara situmii,
Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa.
Sifa ya mke nimtakaye.
Umri kuanzia 30-36
Kabila -lolote...
I am 28 yr guy from dsm working as businessman
I like public transportation(i dont have a car lol)and wandering around cities.
I do believe that ‘love conquers all,’ but that’s because I’m a...
Hello everyone,
I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu...
Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for...
Awe na
miaka 28...36
Mkaz wa Dar
Christian
Urefu asifike fut 6
Mengine tutawasiliana pm.
Mimi nna miaka 28 ni diploma holder.
Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
Jambo! Natumaini wote mko salama na Mungu anawapenda sana.
Natafuta rafiki mzuri wa kike maybe ndio atakuwa wangu wa milele nina 40 yrs, niko Arusha kwa sasa napambana nina mtoto mmoja ana miaka...
Habar wanajf...,
Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar..
Sifa zangu ;
-Umri 28
-Elimu: degree
-Kazi:Self employed
Sifa za mke
-awe na umri 22-28
-Awe na kazi rasmi
-Awe amemaliza kula ujana
Karbu...
Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo.
Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.