Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.
Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji...
Habari zenu wadada wa JF,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 38, elimu yangu ni ya Chuo kikuu, Mkristo wa Roman Catholic, mwajiriwa serikalini, mrefu wa...
Naitwa Sam
Miaka 35
Naishi moshi
Kazi yangu biashara
Kabila mchaga
Dini Mkristo,, KKKT
Mweusi mrefu
Sio mnene wala mwembamba sana
NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO...
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!
Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi...
Kama kilivyoeleza kichwa Cha habari hapo .. mm nimkazi wa Arusha kazi Tourguide natafuta rafiki wakike mwenye umri kuanzia miaka 20-26 kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kufahamiana
Mimi ni mwanaume
Umri wangu ni miaka 33
Mwajiriwa serikalini
Nahitaji mke
Vigezo..
1.Umri..30 kushuka chini
2.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa
3.Dini awe mkristo
##Mengineyo tukikutana tutayaongea
Za mida hii
Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo.
1.Asizidi miaka 30
2.Awe na uelewa muhimu wa maisha
3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo...
Habari zenu waungwana, mimi ni mwanaume umri miaka 38. Naishi Dar ni mjasiriamali, natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa vvu natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi...
Habari
Ni kijana wa miaka 28
Kutokana na matatizo Yangu (kiafya) sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Hello wanajamvi.
Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na...
Helo diaz,
Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian.
Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come.
Nyie...
Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari...
Mimi ni mke
Nipo Arusha
Mfanya biashara
Umri 26
Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania
Namuamini Mungu
Natafuta mwanaume wa vigezo
Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang...