Habari za muda.
Wasifu wangu.
Miaka 27
Mfanyabiashara mdogo.
Elimu ni Diploma
Dini Mkristo.
Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa.
Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu.
Sifa nazohitaji...
Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali
Niko Arusha
Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana
Na hatimaye tukaachana rasmi
Nina watoto 3
Maisha yangu ni ya...
Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu.
Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea.
Namba yangu ni...
ule usemi ngombe wa maskini hazai sasa ivi naushuhudia kwa macho yangu,kijana wakiume kupata mke kama maisha yake duni tusahau ilo ,binti anachat ukimwambia financialy haupo vizuri ansepa hahahaaa...
Maisha xio haraka na haraka sio maisha Ivo Sina haraka na maisha na nahitaji Baraka kwan kutafut mke sio kukosa niliitaji Kama Kuna mtu atawiwa I'm free
Sifa
Ni simple ty
Mkwel ,muwaz
Umri;18...
1-Awe muislamu
2-umri 20-30
3- kabila lolote lile
4-Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea
5-awe ameajiriwa au hajaajiliwa ni sawa tu,akiwa ameajiriwa basi akiwa mwalimu ni vyema zaidi.
6-Awe...
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine...
Nawasalimu
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kama dini yako inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja basi karibu au kama hujaoa kabisa pia karibu[emoji847]
Sifa zangu
29yrs
Muislam
Maji ya kunde...
Mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18-45,awe na mfododo hata kidogo nataka awe mpenz wangu,nipo Geita,hakuna masharti,ila kupima HIV ni muhimu sana.
[emoji16][emoji16][emoji16],aliye tayari aje pm...
Habari za hapa ktk jukwaa pendwa mimi nimekuja kuomba ombi hapo juu natafuta mpz awe na miaka30/40mimi nina miaka39 awe mrefu kiasi pia awe amejiajiri au kuajiriwa mimi nimejiajiri pia dini siyo...
Hello Guys mimi ni Mwanaume miaka 30,naishi Dar,Am serious natafuta mchumba,Awe mkristu,mrefu wa wastani,maji ya kunde au mweupe asilia,Asiwe na mtoto,Elimu kuanzia form four na kuendelea, Awe au...
Ni ki kijana wa miaka 26 ni mrefu na mweusi kidogo nna mwili wasitani maana nina 69KG.
Ni mfanyakazi wa sekta flani binafisi.
nina usafiri na makazi ya kueleweka.
Inshort nina kipato ila bado...
Habari, hopefully mko salama katika kila jambo jema, mimi pia.
Niko hapa kutafuta marafiki kwa lengo la kujengana, uzoefu na kadha wa kadha. Mmi ni Mwanaume, muajiriwa na msomi level ya Shahada...
Wasifu wangu.
Mrefu
Mwembamba
Dini -Mkirsto
Kazi -Mwajiliwa serikalini
Umri 32
Situmii kilevi chochote
Natokea Nyanda za juu kusini
Awe na sifa zifuatazo
1.Mkirsto
2.Mfanyakazi/Amejiajili...
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma.
Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha
Asante
Kama nilivyojieleza hapo juu.
Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.