Habari wana JF.
Niko hapa kutafuta mwenza.
Mimi ni nwanamke.
Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja. Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34, na uwe na kipato...
Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya,
SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI
KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi
UMRI : 30
MAKAZI ...
Mimi Ni kijana mwenye umri 38 Ni muhajiliwa natafuta mke mwenye umri unaostaili ndoa uwe mkubwa uwe wa makamo na uwe umeajiliwa au umejiajili kwa mazungumzo zaid njoo inbox
Nina miaka 32,
Nimeajiliwa na serikali,
Sifa za mwenza.
Awe mkristo.
Awe na nia thabiti ya kuolewa.
Awe na umri wa miaka 24-29.
Kuwa na mtoto sio tatizo.
Awe anatokea mkoa Ruvuma/Lindi,
/Mtwara/...
Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu...
Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo.
Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake...
Habari ya leo wakuu,
Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa
Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa...
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini...
Upande wangu
Mwanaume
Umri 30
Dini muislamu
Nimeajiriwa
Mwenza:
Awe na umri kati ya 23 hadi 30
Awe muislam
Awepo Dar es salaam
Kuwa na watoto au kutokuwa nae tutajadiliana.
Assalam alleykum warahmatullah wabarakatuh za muda huu ndugu zangu katika Imaan
Naam mimi ni kijana wa miaka 27 inshaalah mwezi ujao naongeza umri pia ninaishi Daresalam, Tanzania nilikua...
Mimi ni kijana wa 28 black elimu diploma nimejiajiri dini Muslim Kama dini inavyo sema kuwa ndoa ni utimilifu wa dini nami sinabudi kutafuta mke
Sifa za mke ninae muitaji awe Muslim miaka...
Natafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato...
Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao
Wanaume au wanawake walio single
Age 40 to 100
Kwa week hii tu lakini
Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7
Habari!, natafuta mke nipo Tanga.
taarifa zangu kwa ufupi
umri: 26yrs
Dini: muislamu
elimu: Degree Education(science)
mrefu kidogo, maji ya kunde
sifa za mke
muislamu
asizidi miaka 26
elimu...
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo...
Habari!, natafuta mke nipo Tanga.
taarifa zangu kwa ufupi
umri: 26yrs
Dini: muislamu
elimu: Degree Education(science)
mrefu kidogo, maji ya kunde
sifa za mke
muislamu
asizidi miaka 26
elimu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
Wanawake wa siku hizi wamekuwa maji moto saana
Kuna demu tulikuwa naye kwenye mausiiano 2017 mpaka 2019 demu aka niacha solemba kabisa niliumia sana nilibembeleza mtoto wa kike mtoto wa kike aka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.