Wakuu habari na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa.
Natafuta mchumba wa kike
Umri miaka 24 kushuka chini
Elimu-kidato cha 4 na kuendelea
Mimi binafsi
kijana wa umri miaka 27
Ajira...
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya...
Nchi za ulaya zimeendelea zaidi katika maendeleo ya family sababu kule ndoa si kifungo kabisa hata nchi za Africa kama kutakuwa na ndoa za mkataba zitasaidia Mambo kama haya
1.kulinda Mali za...
Kama nilivyoanza hapo kwenye title. Age is just a number.
Natafuta mwanamke ambae tutaanzisha mahusiano kwa mlengo mmoja tu, tuje tufunge.
Umri mie nakubali wowote ule kuanzia 18 - 40.
Kwanini ...
Ni kijana wa umri wa 27
Elimu: degree
Dini: mkristo
Makazi: dar es salaam
Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines
Anayehitajika
Elimu: form 4 mpk darasa la 7
Msichana umri chini ya...
Nahitaji mwanamke aliye serious kuingia kwenye ndoa takatifu awe na sifa zifuatazo
1. Umri usizidi miaka 29
2. Awe mkristo au tayari kubadili dini na kuwa mkristo
3. Awe anajishughulisha na...
Umri wangu miaka 32 mdada mwenye sifa zifuatazo anaitajika.
1.awe anapenda ugomvi
2.awe anatumia castle lite ata bingwa sio mbaya
3.awe na mtoto wasizidi 2
4.umri wake usizid miaka 34
5.awe...
Kuhusu Mimi,
Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg
Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo...
Natafuta rafiki
Sifa:awe mwanamke, umri 18-99
Awe muislamu
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu
Asiwe mrefu wala. Mfupi
Kabila: Lolote...
Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja.
Sifa za mwanamke nimtakaye:
1. Awe anaishi mkoani Mbeya...
Habari wakuu kwa ujumla na wadada na wamama mliomo hapa.
Natafuta mchumba wa kuoa . Narudia wa kuoa na kuishi nae. Awe dini yeyote, kabila lolote, elimu yeyote japo akiwa mchamungu itapendeza...
Duh...nitazini hadi lini? Mwisho wa siku nitakuja kukanyaga mawaya Bure, nataka mke jamani,nipo extremely serious nataka mke mie jamani.
Sifa
Awe kutoka kabila lolote na Taifa lolote Duniani...
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home...
Na siku kadhaa.. naumwa
Sijiskii vibaya kimwili.. sehemu za siri haziumwi wala kuskia dalili yoyote, yaani kiafya niko safi..
Shida inakuja.. kuna mda vinatoka vi ute kama usaha, havina harufu...
Jinsia Me:
Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi
Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana)
Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya...
Kwa majina naitwa Naseeb ni mzaliwa wa Moshi Ila naishi Arusha kikazi, kabila ni Mrangi-mbena, miaka ni 28 na elimu ni bachelor holder..Nahitaji mwanamke wa kuoa awe mke kwani nimechoka kupoteza...
Ninahitaji mpenzi jinsia ya kike anayependa kampani na dating.
Umri wangu 25
Dini Mkristo
Elimu Degree
Rangi Mweupe kihasi
Urefu wastani
Mwili mwembamba
Sina ajira nabangaiza
Naishi DSM/Kawe...
Hello guys!
Natafuta bint wa miaka 25-28, elimu form6 mpaka chuo, lengo ni kuanzisha uhusiano na mwishoe tuoane.. ila Moja ya mambo ambayo sipendi sana ni ngono za mara kwa mara.. naamini mapenzi...
Mm ni kijana 23 natafuta mwanamke amabaye Yuko na ndoto ya kupata mwanaume ambaye siku zote atakuwa anajivunia na anayejua thamani halisi ya upendo
Vigezo educated angalau form six
Hofu ya...
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.