Habari za wakati huu wana-jukwaa,
Nina imani mmekuwa na siku njema na mwaka mwema tunapoelekea kuumaliza mwaka 2021. Tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa Neema hii ya Uhai aliyoendelea...
Kama unamakasiriko usije hapa. Sitaki ushauri, Majukwa ya maadili na ibada yapo. Usinifundishe namna ya kubehave najielewa vyema.
Ukinitukana nakuloga. Sasa skia.....Uhamisho wa kikazi unasumbua...
Karibu Sana wewe ambae unatamani kuoa na umekosa kabisa mwanamke binafsi najijua ni mke ambae ni mama
.
Naomba niweke vigezo vya mwanaume ambae nitaweza kumvumilia kwa chochote kitakachotokea...
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi...
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,
Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo...
Hello wana jf mi ni mwanadada mfanyakazi serikalini sijawahi kuwa na mtoto! Naombeni ushauri wenu nilikuwa na mahusiano na mkaka akanitolea mahali na tulipanga tarehe ya harusi mwaka jana...
Hi guys
Mimi ni kijana wa miaka 33 naishi NJOMBE nimegundulika na maambukizi ya VVU last month. Najishughulisha na biashara ya mazao, Elimu ni Degree ya Education, si mfupi si mrefu mwili wa...
Hello
Habari zenu ndg wana jf, nipo hapa kutafuta mdada mwenye kujieshimu, anayeweza kujenga heshima ya familia kwa maana ya mlezi mzuri wa familia,
Awe na umri kuanzia miaka 24_27
Mcha Mungu...
Hellow wapendwa, mimi ni kijana wa kiume miaka 25 now, muislamu, kabila ni msambaa wa lushoto, elimu ni daktar lakini pia ni askari,naishi Dar es Saalam. Nahitaji binti wakuanzisha mahusiano hadi...
Kama una huitaji na mke bado nipo
Vigezo
Miaka 30-35
Dini yoyote
Mrefu kiasi (maji ya kunde au mweupe)
Umbo la kati sio mnene Wala mwemba
Mtoto asizidi mmoja
Asiwe ameachika
Awe anapenda tendo la...
Mimi humu sitafuti mpenzi.
Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa...
Naitaji mwanamke huru wa kuchart nae ku shair nae story free.
Naitaji mwanamke mjanja mwenye mbinu na anae jua hesabu ili kukokotoa changamoto.
Napenda nipate mwana dada ambae yuko tayari...
Habari zenu WanaJF, naandika ujumbe huu kwenu nikiwa najitambua, Mimi kijana nina miaka 24 natafuta mchumba bila kutania, Binti alioko tayari kuanzisha mahusiano ya kweli na mimi namkaribisha, awe...
Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja
Sifa;
1.Awe mweupe au maji ya kunde
2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana
3.kama atakuwa...
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu
SIFA:
1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25
2.Awe mweupe au maji ya kunde
3.Asiwe mnene sana...
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 28
Dini mkristo
Rangi mweusi
Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke
Sifa awe kuanzia miaka 24-27
Dini mkristo
Awe mchakalikaji maisha...
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike...
Wapendwa,
Wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika...