Hello.
Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth.
Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na...
Nimefungua uzi maalumu lengo ni kupeana connection ya wachumba
Hivyo kama una rafiki yako wa karibu hayupo jf ila anatafuta mchumba basi weka vigezo vyake ili anahitaji umpe connection Mimi...
Habari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.
Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati...
Habari za jioni wakuu,
Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo.
Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa
Niliandika nahitaji mke na kweli...
Habari jf kwanza kabisa napenda kutoa shukurani kw mungu mpk now nipo mzima wa afya nanyi natumai mu wazima kama nilivyosema natafuta mwanamke wa kuishi nae umri wake awe na 25 +..... 30 pia awe...
Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote.
Uamuzi...
Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble.
Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano...
Hello wa JF
Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar.
Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka...
Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo
*mweupe mwenye tako
*awe anajua mapenzi
*awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
Sifa zangu, nimeajiliwa serikalini, elimu shahada, umri wangu miaka 32, nina mtoto mmoja, nipo kibaha pwani, dini muslim.
Siza za nimtajae, awe muislam, umri kuanzia miaka 20-28, elimu yoyote...
Ili ni swal nimeulizwa na vijana watatu ambao wannia ya kuingia katika mahusiano ya kudumu yaani ndoa ..
Taja vitu unavyovizingatia kabla hujavuta jiko ?
DON NALIMISON DESTINY
FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.
Habari
Kwanza kabisa naomba namimi nijiunge nanyi katika mtandao huu, nimeamua kua mzalendo, sio lazima kutumia mitandao ya wazungu tuu tunahitaji kutumia vya kwetu pia.
Niende moja kwa moja...
Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni.
Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote.
Jamani mimi nashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.