Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,
Naishi Dar es salaam- ubungo
Elimu : Bachelar
Ajira: mwajiriwa serikalini
Mdada nimtakae,
Awe na mpole na mwenye nia njema
Mzuri kiasi tu.
Umri: awe na...
Amani na iwe nanyi!
Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae
Wasifu wangu
1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years
2. Urefu: 5.6 Futi
3. Uzito: 80 Kg.
4. Rangi: Maji ya kunde
5. Kazi: Mjasiriamali
6. Elimu...
Habari za majukumu,
Naamini nyote mpo salama, natafuta rafiki wa kike mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa kupindukia, Dini Mwislam/mkristo.
Mwenye elimu walau...
Habari wapendwa,
Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].
Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a...
Morning!
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani...
Habari za wakati huu wana Jf na wapenzi wasomaji wa Jukwaa Pendwa la MMU.
Mimi ni kijana ambaye sijaoa na nina miaka 30+ now ila nina mchumba. Huyu mdada niko naye takribani miaka miwili sasa...
Habari
Kwanza kabisa naomba namimi nijiunge nanyi katika mtandao huu, nimeamua kua mzalendo, sio lazima kutumia mitandao ya wazungu tuu tunahitaji kutumia vya kwetu pia.
Niende moja kwa moja...
Hallooo hodi humu ulimwenguni..mimi ni mfuatliaji wa jf kitambo almost miaka mitano nyuma ila kutokana na ubize na kutokuwa na mood ya kuexist kipindi hicho now nimeamua kujiregister kabisa...
Hallooo mambo vipi wadau wa jf,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nahitaji msichana ataekuwa tayari tujenge uhusiano ili Mungu akijaalia nimuoe.
Awe tayari kupima afya.mimi naishi mkoa wa...
Nahitaji mdada aliye serious tuanzishe mahusiano
Umri kuanzia 28-39 nipo dar shughuli zangu nimejiajiri Kama event planner hivyo natafuta aliye serious tuanze maisha ya pamoja
Mimi ni msichana wa miaka 25, ninaishi na virusi vya HIV, mkristo, ninasoma chuo naingia mwaka wa tatu. Natafuta mwanaume ikiwezekana baadae awe mume, awe mkristo, age kati 28-35, from Dsm, awe...
Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa.
Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi...
habari ndugu zangu!
Poleni kwa msiba wa Taifa
Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.
Nina uhakika yuko...
Habari wanajamvi natumaini mpo salama, poleni na hasira za tozo mpya kwenye miamala ya simu
.
.
Rejea kichwa cha barua hapo juu,mimi ni kijana mwenye akili timamu, natafuta mchumba humu jukwaani...
Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu.
Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.