Hello Jf users,
As per heading above
I'm a woman of 32 years.
University level education.
I have one kid.
Religion-Christian.
I'm looking for a Matured Man to start a serious...
Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke.
Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es...
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38 Elimu yangu ni Degree. Dini yangu Mkristo. Niko single. Nipo Dar.
Sifa za mke awe na umri kuanzia miaka 30 -45. Awe Mkristo pia lazima awe Dar.
Aliye...
Habari zenu, za siku nyingi jamani. Nina rafiki yangu wa kike ana miaka 27. Anatafuta mume/ mwenza wa maisha sio boyfriend na yupo serious, aliyeko serious waanze safari ya maisha
Sifa zake ni...
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi...
Naomba nikumbushie hapo nyuma kidogo nili post ombi la kutafuta mwenza mwenye nia nashukuru walijitokeza baadhi ya wadada lkn nikapata safari ya ghafla mkoani niliendelea kwasiliana na kuzungumza...
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea...
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 38 ni muislamu.
1. Awe muislamu
2.umri kuanzia miaka39 hadi45
3.asiwe na mtoto
4.Awe mvumilivu na ukubali kuishi na mtu hohe Hahe ila mwenye kutafuta.
5. Elimu...
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.
Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri...
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 5 mpaka ndoa.
Sifa
1. Awe na umri 22-24
2.mwenye elimu isiyozidi...
KWA ALIYE SERIOUS 100%
A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine...
Katika maisha ya kimahusiano huwa naamini hakuna formula ya kusema mke/mme lazima umpatie sehemu fulan,waliomo humu jf ndio waliopo mtaani japo wengi humu hawapo kwenye uhalisia wao lakini wapo...
Hbr za Jumapili? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Nahitaji mke mwenye sifa zifuato:
Mcha Mungu
Mkweli
Muwazi
Umri 27 -39
Elimu yyte
Anajishughulisha
Kabila lolote
Sifa zangu:
Mcha Mungu...
Natafuta mchumba hadi kuwa mke
Awe tayari kuwa mke
Awe mkristo hata akiwa Muislam tutaongea
Age 20 hadi 24
Mwajiriwa au amejiajiri
Awe Dar es Salaam
SIFA ZANGU:
Niko Tayari kusudia
Mwajriwa /...
Mimi in mwanamme mtu mzima ninayejiheshimu, umri wangu miaka 49. Nahitaji mwanamke ambaye tutaazisha mahusiano ya kidumu muhimu awe anayejiheshimu na mkweli na mapenzi ya dhati na umri usizidi...
Kama wewe ni msichana mzuri na upo Morogoro Mjini (Municipal) basi njoo PM tuyajenge.
Umri usizidi miaka 22,
Dini ni yoyote ile
Elimu, kama umefika IV na ukajiendelezaendeleza kidogo you derseve...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.