Habarini Ndugu zangu
Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.
Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati...
Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa!
Elimu Masters of science in Finance
Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi)
Umri 33 sina mtoto
Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba...
Habari kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Awe muislam na umri usizidi 3O.
Awe mgumba au asiwe na mpango wa kuzaa.
Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye...
Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa...
Habari zenu wana JF,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka...
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano...
Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha...
Wasifu wangu
1) na miaka 25
2) elimu yangu diploma(engneering)
3)sijaoa
4)mpole
5)kabila mhaya
6)Urefu 1.8M
7)Dini, mkristo
Wasifu wa girl ninayemtaka
1)umli awe na 24 au chini ya hapo
2)elimu...
Aisee wakuu, kuna mdada nadate nae ila sasa nimeanza kumchoka, saivi tuna takriban miezi 7.
ila kila week lazima nilale nae ata mara 4 au zaidi ila saiv nmemchoka, maana nikimpga bao moja nakua...
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Jamani sio kila single mother ni muhuni wengine ni matatizo yetu sisi wenyewe wanaume.
Kwa mfano mimi hapa, nimesababisha single mothers wanne hapa...
Hello goodpeople.
Brother wenu hapa natafuta pumziko la moyo.
Nina 35 years
Nina watoto wawili( naishi nao)
Divorced
Nina kwangu pia ni mkristo
Natafuta mwananmke mweye sifa hizi
Awe...
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.
MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI...
Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha.
Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30.
Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya...
Upo baada ya kuchoshwa na vibinti vya mtaani kukulia hela unakuja zako jf unaandika zako unatafuta mke unataja na umri kinachofuata sasa
MIJITU INAANZA
*mke mwema hapatikani mtandaoni
*Humo humo...
Name: John
Residence: Tanzania & Kenya
Job: University student
I'm looking for woman, I don't care about the age. I would love someone kibonge🤣🤣🤣, akiwa na hips itakuwa poa Sana ila not a big...
Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano...