Wasalaam,
Naomba kufikisha ujumbe kama nilivyopatiwa.
Dada/Mama/ Aunt wa miaka 40 - 45 anahitajika kwa mahusiano na mtu mzima mwenzake iwapo wataridhiana.
Ni vyema akawa anaishi Dar es Salaam...
Hello dear friends!
Nipo hapa kwenye hili jukwaa for the first time looking for a life partner wakumaliziana muda wetu wa maisha ulobaki hapa duniani. Ok sifa zangu ni hizi hapa. Am a woman of 33...
Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28
Elimu: Electrical and Electronics Engineer
Makazi: mbezi luis dar es salaam
Kazi: Kwasasa bado sijaajiriwa
Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 21 tuwe...
Hellow!
Habarini wapendwa mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume mwenye nia ya dhati, bila kujali nina mtoto au sina mtoto
SIFA ZANGU
Umri:30yrs
Marital Status:Single,sijawahi kuolewa
Colour:Maji...
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu...
John Madela anahitaji aoe mke wa kinyaturu huko singida ameahidi kumpa sh 150,000 (Laki moja na nusu) cash yeyote atakaye msaidia kupata mke kutoka kijijisi sio mjini.
Sifa za John Madela
umri...
Leo mbulukenge sasa kwenye hot chair.
nahitaji mwanamke wa kuoa.
SIFA ZAKE.
awe.....
mpole
mchamungu
sibagui dini.
mrembo wa tabia na sura
elimu yoyote
mjasiriamali au muajiriwa
ni hivo tu...
Mkishapeana mawasiliano mtu akakwambia anaomba picha yako...tuma.
Unapomwambia "usiwe na haraka utaniona tu" maanake unaficha nini?
We si ndio umebandika tangazo kuwa una shida ya kuolewa? Picha...
Habari wana JF.
Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu.
Sifa zangu.
Umri, 27
Dini, mkristo
Kazi, fundi Umeme
Sifa za mke nimtakaye.
Awe mrefu kiasi
Umri. 20- 25
Dini. Yoyote...
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa
Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo...
Natafuta mwanamke wa kuoa umri usizidi miaka arobaini. Mimi nina miaka 38 ni muislamu ila asiwe na mtoto na awe muamiminifu, subira Heshima uvumilivu
Namba 0782210033
Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za...
Nawapenda kwasababu wamepevuka "mature"
Wanaujua uchungu na thamani ya Ndoa
Awe na elim yoyote
Mimi niko dar,ni mfanyakazi,nina miaka 34
Age is just a number
MIMI NI MWANAUME
NINA UMRI WA MIAKA 34
NI MFANYA BIASHARA
NINATAFUTA SINGLE MAMA TUWE KWENYE RELATIONSHIP THEN TUTAAMUA BAADA YA KUWA PAMOJA.
VIGEZO:
AWE MKRISTU.
ASIWE MWEMBAMBA / MNENE...
Sifa zangu..
umri: 33
kazi: nimejiajiri/kuajiriwa
elimu: degree moja
makazi:kanda ya kaskazini
Sifa za mke..
umri: 18-35
elimu: form four ++
tabia/sifa: awe mpambanaji/upendo/tabia njema...
Naitwa Jackson nipo Moshi,
Sifa zangu mimi ni mkweli, muwazi, mpole, kazi nimejiajiri, umbo langu ni saizi ya kati sio mnene wala mwembamba na umri wangu ni miaka 26. Natafuta mchumba mwishowe...
Umri usiozidi miaka 35.
Awe mtanzania wa kuzaliwa.
Asiwe amewahi kuwa ndani ya Ndoa (Kuolewa na kuachika-Hapana)
Awe amesoma angalau kiasi.
Awe mwenye Hofu ya Mungu.
Awe anajitambua na mwenye...
Nahitaji mke rafiki na hatimaye kuwa mke,sifa zifuatazo zinatakiwa:
I) Awe mkatoliki na anajua maana dini
ii) Hajawahi kufunga ndoa
III) Awe na umri kuanzia miaka 22-28,hata akiwa na mtoto mmoja...