Mimi ni kijana Mwenye miaka 30, mwenye kupenda kujifunza vitu vipya kila siku either kutoka kwenye vitabu au watu au youtube and all stuff like that kifupi I'm open minded person. Niko tayari...
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.
Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.
Mwenye nia ya dhati aniPM.
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Elimu yangu kidato cha nne
Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi.
Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar.
Kazi yangu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.
Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.
Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Hii,
Naitwa Jophy (29yrs), Christian (KKKT) and God fearing man. Naishi dodoma.
I am a university graduate and now nafanya mishe zangu hapa dodoma.
I am looking for a very bright woman (girl...
Wasalaam wakuu!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu
Wasifu wangu
*Umri -26
*Elimu -Bachelor degree
* Dini - muislam
*Rangi- Mweusi(pure)...
Naitwa mercy natafuta mwenza wa kufanya nae maisha sifa zangu ni:
Umri 33yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi Mwajiriwa serikalini
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa koz nilikuwa nasoma na...
Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha
1.Mwanamke mkristo
2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo)
3.Elimu...
Habari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye...
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo.
Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa.Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto mmoja...
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kujishughulisha na chochote
4)muwazi
Naomba ni pm...
Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora.
Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji...
NAMAANISHA KABISA.
Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia.
Nicheki WhatsApp 0656-876 084.
Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto...
Umri:26
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi: mtumishi wa serikali
Bado sijajenga nipo kwenye mchakato wa kurekebisha maendeleo.
Mwanamke ninayemhitaji:
Umri: 21-24
Elimu kuanzia form IV kuendelea...
Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa...
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA ZANGU...
Sifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe...
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye
umri wangu miaka29
Dini ni mkristo
Kazi nimejiajiri
sifa za msichaa nimtakaye
umri kuanzia 19-26
dini lolote, awe na hofu ya mungu tu...