Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe mkristo
*Awe anaishi dar
*awe...
NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi...
Wajameni 2025 imefika sasa! Ajitokeze mdada flani hivi tuoane kama ajali flani hivi bila mauchunguzi na intelijensia nyingi. Kuchunguza sana ni time consumption na muda unaochunguza pepo...
Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa.
Umri - miaka 36..
Kazi-Seremala
Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi...
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.
Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam
Umri - 33.6
Kazi - Ajira/biashara
Dini - Mkristo
Elimu - Masters
Rangi - mweusi na mrefu kiasi
Mtoto - Sina mtoto
Natafuta binti
Umri - 24 hadi 29
Kazi -...
Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa.
Awe na umri kati ya 23-27yrs.
Mtoto awe mmoja tu.
Kabila, awe katika lolote kati ya haya,
Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from...
Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
Awe mwislam.
Asiwe mchaga.
Mwembamba au mnene wastani.
Urefu wa...
Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)...
Habari Wana Jf,
Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote.
Awe
-Mkristo na awe na hofu ya...
Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa...
Habari za mida wapendwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba
Nafanya kazi na Nina kipato...
Habari rafiki,
Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni...
Natafuta mchumba anayemcha Mungu.
Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane.
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe...
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo...
Hili ni jambo lenye thawabu kwa Mungu,tujitahidi kuwasaidia wanaotaka kuoana kwa kila hali.Fanya hivi:
1.Tengeneza orodha ya wanawake na wanaume ambao hawajaoa au kuolewa
2.Kila unaposikia kuna...
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Umri 18-34
Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na...