Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri...
Dear Colleagues,
I am looking for any 'matured Woman' who is single and interested to get a man for A SERIOUS RELATIONSHIP.
CONDITIONS :
1. Should be single without a kid , or Single mother.
2...
Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa.
Nina miaka 29.
Dini mkristo
Kazi nimejiajiri.
Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu
Umri asizidi miaka 27 .
Dini awe mkristo
Akiwa mweupe ama maji ya kunde...
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA ZANGU...
Naitwa Jeremiah nna miaka 31 naishi kibaha pwan natafuta mwenza/mchumba wa maisha na awe seriuosly umri kuanzia 28-32! Aliyeseriuos tuwasiliane+255620257229.
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi:
Awe na umri miaka35-47,
Awe mkiristo,
Ambaye hazai
Awe tayari kunilea
Wasifu wangu:
Nina miaka 64
Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5
Mimi ni...
Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen!
Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)!
Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya...
Mim Nina sifa zifuatazo
Jinsi Mwanamme
Umri miaka 29
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree
Kazi Nimeajiriwa
Makazi Dar es salaam
Mhusika awe na sifa zifuatazo
Jinsia Mwanamke
Miaka chini ya 25
Dini...
Nina miaka 28,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya...
Habari zenu wapendwa,
Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa.
Sifa zangu;
Umri: 31...
Hbr wadau mimi ni mwanaume mwenyewe miaka 48 nahitaji single mother mmoja mzuri mwenye umbo flani hivi kama number 8 ,na mwenye kuishi dar au mkoa wa jirani kama moro au tanga aje dm...
Nahitaji mpenzi hili tukikubaliana tuoane.
Sifa zangu
1.Mim ni mfupi , mnene na rangi yangu mweusi.
2.miaka yangu ni 39
3. Ni muajiriwa sekta binafsi
4.Nina watoto wawili midume
5.Naishi mwanza...
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA ZANGU...
Bila shaka mu wazima,
Naitwa David naishi chanika Dsm,
Umri-30
Dini- mkristo
Kazi- biashara
Elimu- diploma
Nahitaji binti umri asizidi 30
Mcha Mungu
Pia awe mkristo
Mpambanaji kama mimi...
Habari bado sijampata mke wa kuoa, natafuta mke mwenye umri 18-28. Sina ubaguzi wa Elimu yake, kabila, Wala dini.
Mimi ni mkristu, Elimu ya Chuo Kikuu, mwajiriwa, naishi Dar kwa Sasa
Karibu PM...
Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39.
Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu...
Nimeamua kuacha kasumba zangu na kutafuta mke (muislamu)
WASIFU WANGU
- Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.
Muislamu (msomi kiasi wa dini)
mrefu
mweusi
mwajiriwa
sina gari
sina nyumba...
Vigezo awe mrefu au wastani, mweupe wa asili au maji ya kunde.
Umri chini ya miaka 25.
Dini yoyote ile ila akubali kuolewa na mkristo.
Elimu level yoyote ile ila aweze kutunza familia.
SIFA ZANGU...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu
Nina umri wa miaka 30
Dini muislamu
Muajiriwa serikalini!
Nina mtoto 1
Makazi mbeya
Sifa za mwanamke ninaye muhitaji
Umri miaka 23-32
Awe muislamu
Elimu...