Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam...
Nakuja mara ya pili
Mimi ni kijana wa miaka 33
Kazi: Umachinga,Udereva na utalii
Dini : Mkristo
Mkazi : Arusha
Kabila : Mchagga
Elimu : Diploma
Vigezo vya mchumba
Awe zaidi ya 23
Na isiyozidi 29...
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:
Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu...
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe mkristo
*Awe anaishi dar
*awe...
Habarini wapendwa,
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi...
Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao.
Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye...
kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote...
Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke!
Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji...
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu...
Habari ndugu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Nina uhitaji wa...
Natumai mu wazima wa afya,
Twende moja kwa moja kwenye maada kuu, kama watu wa kiroho wanavyotafsiri alama hii 11:11 , kuhusu alama hiyo kwa upande wangu kila siku naiona kwenye mizunguko ya...
Hello
Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe mkristu,kabila lolote.
Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au...
Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe...