Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari JF Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni...
3 Reactions
160 Replies
11K Views
Utangulizi: December 2018 Nilienda musoma kumtembelea rafiki yangu wambura. ilipofika siku ya sabato wambura aliniambia tukasali sabato kwa sababu kwao wambura wote ni wasabato nami sikuwa na...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa. Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40. Najitegemea nina kwangu na...
40 Reactions
200 Replies
28K Views
Nahtaj mke alie serios kuolewa. Sibagui din. Umr wangu 27 nimejiajiri. Mke naemuhtaj awe mweupe kidogo mrefu kidogo asiwe mnene sana. Ikibid awe na kaz pia. Mawasilino yangu 0766507273 njoo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi wenzangu!! Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 29, mrefu kiasi mwembamba, mweusi kawaida. Elimu yanngu ni Shahada...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wakuu,,,, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada kuu.Nipo hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye basi kwa namna moja au nyingine mambo yakienda vizuri awe mke wangu.Mimi ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mungu alivyomtengeneza Adam akaona ni jambo jema kuwa na mwenza ambaye ni Hawa. Muda wa kukaa upweke naona ufike tamati. Natafuta mke mwema mwenye maadili ya kumpendezesha mungu. Mimi ni mwislam...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heri ya mwakampya wanaJF kama kawaida, mwaka mpya na mambo mapya nahitaji mwanamke aliyejitunza vema na bikra yake nije niibikiri na kumuoa kabisa umri ni kuanzia miaka 23 mpaka 26 Dini yoyote...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wana jf natumaini wote ni wazima kama mada inavyojieleza hapo juu natafuta mshichana ambaye yupo tayari huanzisha mahusiano na hatimaye ndoa aliye serious kwa ajili ya kuanzisha mahusiano...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman wa mjin tupen connection bas yaliomo yamo kilicho akilini kitumie
1 Reactions
5 Replies
889 Views
Habari zenu Wana JF. Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira. Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli...
12 Reactions
60 Replies
7K Views
I'm a good boy, natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo ninapochoka na mishe zangu. Napenda sana kufurahii na kubadilishana mawazo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi Jamii forum family,Ts my second time here. I'm 30 years of age Tanzanian with hiv+ on medication , I'm looking for a gud man ,he just have to be smart with a very gud sense of humour ,age...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age. Job: nimeajiliwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
I am female aged 29, I am looking for a man who is serious to get married this year. Guys help me find the best man in the world, awe na miaka 30 nakuendelea. Mwenye kazi yake na mwenye kujitambua
10 Reactions
126 Replies
11K Views
Vigezo Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, natumai mu wazima Nakuja na mtazamo wangu kwa hili kundi la kina dada kujitangaza kutafuta waume. Kiukweli wengi wao umri kidogo umesogea lakini bado hawajakua wala kujifunza...
3 Reactions
11 Replies
949 Views
Habari wana JF, Nikiwa na nia thabiti, ninatangaza kutafuta mume. Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa miaka 31. Upande wangu, Nina mtoto mmoja>5 yrs Elimu yangu Diploma Ni mwajiriwa Ninahitaji mtu...
6 Reactions
52 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu. nmekuja kwenye jukwa hili nikiwa na uhitaji na mwanaume ambaye baada ya kukubaliana tunaweza kwa pamoja leta kiumbe kipya duniani. wasifu wangu; mimi ni mkristo,mwanamke wa kawaida ...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…