HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏
Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja.
Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE...
Habari wakuu nina umri wa miaka 26 napitia changamoto ya mahusiano nahitaji mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia miaka 35 had 35 nafanya biashara zang ndogo ndogo nipo dar es salaam
Niko Arusha
Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu
Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto
Rafiki ninayemtaka
Awe mweusi
Awe mrefu...
Nipo hapa kutafuta mchumba mwanamke nimekuwa single kwa muda mrefu.
Vigezo dini yeyote, umri wowote sichagui mahusiano serious kwa ambaye yupo serious ani Pm niko DSM.
Wadau tunawashukuru kwa Kushiriki kwenu.
Tunamshukuru Mwenyezi MUNGU,Mwoaji amefanikiwa kumpata Mke Mwenye Sifa 15 Kati ya 16, Kilicho Bakia Hivi sasa ni mchakato wa ndoa yenyewe Kukamilishwa...
Vigezo;
1. Miaka 30 Mpaka 41
2. Amezaliwa Mara ya Pili.
3. Amejazwa Roho Mtakatifu.
4. Amebatizwa Maji Mengi.
5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, mrefu wa wastani, mcheshi, mtanashati, mtu makini, mkristo na nina elimu ya chuo kikuu. Nahitaji binti mkristo, mcheshi, mweupe, asiwe mnene, miaka 18-23, kidato...
alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu
ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar...
Habari wanajukwaa, natumai wote ni wazima,
Naeomba niende kwene point direct, ni kwa muda sasa nimekaa na kutafakari kuwa siwezi kuendelea kuwa single kutoka mwaka huu,nimefanya juhudi za...
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Sio kwamba huku wanaopost kutafuta wenza wana kasoro kwamba wamekosa wenza, huko walipo ni maisha tu mke au mume anaweza kupatikana popote pamoja na kuwepo post nyingi hapa ila imekuwa ni shida...
Wanawake warefu wembamba wanakua na uke mpana na tupu zao kwa ndani uwa zina kina kilefu Sana nawanaume wengi uwa wanawapenda sana
Wanawake walefu kiasi wenye mili Ya kati wasio kua na matako...
Habari nipo Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi...
Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo, pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited...
Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
Habari zenu,
Nami leo natafuta mpenzi nimechoka na huu upweke.
Mimi ni ke nina 27 ni mweupe na mrefu kiasi sio mnene wala mwembamba.
Naishi Kanda ya ziwa ni msukuma pia mi nimuuguzi wa afya...