Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwa hili,natafta mchumba na baadaye aje kuwa mam wa watot Wang km mung akipenda, SIFA 1.umri kuanzia mwaka 24 mpaka 26 2.elimu form 4 mpaka university na awe...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wapi nitapata mpenzi wa kizungu wakuu?
2 Reactions
71 Replies
14K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mwanamke wa miaka 33, niko Arusha, Mkristo Mcha Mungu. Natafuta mume miaka 33 hata 36, awe Mkristo Mcha Mungu. Kujuana zaidi njoo PM.
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Natafuta mpenzi nipo serious . Awe anapenda outings Awe anajitambua Apende wasichana wachangamfu awe anapenda kubadilika . Asiwe mrefu sana wasrani couse mimi ni wastani. Mwenye upendo Na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Umri wangu 26 nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha maisha, nipo serious, but umri usizidi 25, kuhusu sifa zangu ni PM tutaelezana vzr.
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Habar zenu wakuu Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga Nilikua napata tafakar kuhusu...
3 Reactions
3 Replies
793 Views
Mdada alie serious apitie post zangu jamani upweke unaumiza sana natafuta soul mate atae ridhia na hali yangu
1 Reactions
4 Replies
798 Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Helow everyone,hope ur doing great,Am SSJ living in Dar..Am searching for a girl who is Rwandese by descent but living in dar right now..Her age should range(18-22) and having the following traits...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Barnagan nipo apa mi pia nipo dar ila sijui pm sim yangu inazingua kuja pm nipe no ako nikutafute
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Good morning my fellow Jf members My real name is Linda am 28 years old. Am looking for a serious lovely man to spend the rest of my life with. The man am looking for should be aged from 38...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume, nimeajiriwa natafuta marafiki popote pale na wa jinsia zote. Lengo ni kubadilishana mawazo na kupeana fursa za maisha kalibuni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habarii za Asubuhii..Jamani loneliness is killing my soul.naomba mtu ambae anahitaji friendship itakayozaa mema hapo baadae tuwasiliane but am HIV POSITIVE na sioni tofauti wala shida ,,nipo...
9 Reactions
60 Replies
7K Views
- Mimi ni kijana wa miaka 30. - Sijaoa - Nimeajiriwa na nina kazi nzuri tu. - Natafuta binti / demu wa atakayekuwa girl friend wangu. - Sina masharti yoyote: anaweza kuwa mweupe, mweusi, mrefu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukoo wetu wote ni mapacha. Kwenye familia yetu tuko nane. Wakike ni wa NNE Wa kiume pia tuko wa NNE Dada zangu wote wana mapacha tena kila wakipata mimba ni watoto wawili mpaka tatu. Kaka zangu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana familia wa jf Leo naomba kuanza na hawa warembo wadangaji jamani mnatia huruma sana, siku moja nipo eneo langu la kazi mara paap akakatiza mtoto mqali nikajitosa kwake moja kwa moja...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Sifa awe mwenye upendo wa dhati na muwazi Umri kuanzia 20 to 27 .kwa mazungumzo zaidi anifate pm
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee , hapa home naishi na dada flani hivi ni nurse , bwana wake yupo mwanza kutokana na kumdadis sku moja ilaa daah nampa pole sna tena sna huyo bwana wake maana kuna ki janafunzi hapa ki benten...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Am looking for mature lady only for sex and friendship, Am at Mafinga/Iringa, You should be at least 30-45 and HIV free.... More do not hesitate to write me rajabmohamed472@gmail.com
1 Reactions
2 Replies
1K Views
SIFA ZANGU - miaka 36 - mkristo - nimeajiriwa serikalini - nina mtoto mmoja - sijawahi kuolewa -naishi dsm SIFA ZAKE -nahitaji mume -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -umri...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…