So you always have to make sure to practice good habits in your relationship day-in and day-out. You don’t want to end up losing a perfectly good love just because of your recklessness, do you...
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili...
Wakuu habari za wakati huu.
Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo.
Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla...
Wakuu,
Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi.
Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa...
Ukianza kuona kila mhudumu ni mzuri, ni dalili kwamba umeshalewa vya kutosha, nenda nyumbani kwa mkeo, ukalale. Kauli hii inazalisha moja ya swali muhimu sana ambalo labda linaweza kuwafaa walevi...
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....
Mko kwenye ndoa zenu.......
Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............
Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mlio kwenye ndoa...
Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni...
Mwanaume mwenzetu, sitomtaja jina alioa mwanamke mzuri sana, na kwa upendo wa Mungu na upendo wao binafsi wamedumu kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa. Katika hii miaka mitano wamepata watoto...
Mwanamke mmoja anayetokea katika jimbo la Mpumalanga nchini Afrika Kusini amepewa talaka na mumewe siku ya fungate (honeymoon day) baada ya mume kuona sura ya mkewe kwa mara ya kwanza bila...
Salaam,
Kuna kitu nmesikia watu wakijisifia kwamba wanawake wa Tanga ndo mapenzi yalipozaliwa. Ila ila baada ya utafiti wangu wa kina, nimegundua Wanawake wa Zanzibar hasa Kisiwa cha Pemba wapo...
Kama ni challenge mmeamua kuifanya tuwekeni wazi maana sio kwa Hali hii.
Wanawake nyie ni mama zatu ,Dada zetu , watoto wetu mmekutwa na Nini.....? Ni uhaba wa wanaume au ni Nini .....?
Au...
Habari wana wa humu.
Katika mahusiano mengi niliyopitia kuna kitu nimejifunza. Nataka kushare ili nijue kama nawe umeshawahi kuexperience hicho kitu.
Ipo hivi unakuwa na relationship na...
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni?
Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Habar za muda huu wana JF.
Kuna mambo kwenye maisha yanatokea yanatatiza kwa namna fulani mpaka unashindwa kuelewa usimame au ukae.
Iko hivi, kuna mama yetu mdogo alietulea baada ya mama yetu...
Kichwa cha habari cha husika,
Mpenzi wangu ni muislam na mimi ni mkristo sisi tuko tayari kufunga ndoa lakini ndugu zake wamekataa katakata wanasema niwe muislam nami siko tayari kwa hilo...
Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na...
Habari za Jumapili wanajamvi.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa.
Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa...
ZAMA hizi ni za kusaidiana kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume wa kukuoa akiwa na kila kitu bila wewe kuvuja jasho au kushiriki, utasubiri sana...
Kama baba unatamani kuwa na mtoto bora kuliko baba wote duniani.
Mtoto ambae kila linapozungumzwa jambo zuri basi yeye ndio awe amelifanya.
Habari za ‘mabangi’, vigodoro, mapepe, kutatarika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.