Kabla ya dunia kufika mwisho vitatokea vitu vingi sana, lakini kamwe haitatokea mwanaume kushinda mabishano ya kihisia dhidi ya mwanamke; yaani yale mabishano ya kitoto yanayofanywa na watu wazima...
Kwa kuonyesha mahaba unaamua kumtoa ‘out’ mpenzi au mchumba wako kumpeleka sehemu mkapate vinywaji na msosi wa tofauti kidogo na ule mliozoea, ili pia mpate fursa ya kupiga soga za tofauti na zile...
Mke wangu amefikisha mwezi tangu alipotoka kujifungua.
Je, naweza kushiriki nae tendo la ndoa(Kummenya, kumtindua)?
NB: Amejifungua salama bila shida yeyote
Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu...
Tongoza..honga..peleka geto/ gest..nyegesha..tereza..toa wazungu eti ndio habari imeishia hapo.
Kimsingi hakunaga faida ya sex zaidi ya uzao..hizo zingine ni mbwembwe za nyegezi tu na kujitafutia...
Nina mke nimezaa nae watoto watatu
Tangu tumeanza mahusiano hadi Leo tunaishi mbalimbali hii ni kutokana na masuala ya kikazi, ingawa Hatuko mikoa ya mbalimbali, mara moja moja naenda kumcheck...
Hamasa pekee nayoweza kuwashauri vijana ni pamoja na hiki kitabu kukisoma chote
Kina chapters 33 sawa na the highest degree of freemasonry ( I’m not a devil worshipper my self but if Lucifer...
Unaweza rudiana na mpenzi wako wa zamani? Mlikua kwenye mahusiano mkaachana, mkawa marafiki kwenye shida na raha mpo pamoja mkitendwa na wapenzi wenu mnaelezeana matatizo yenu mnapeana moyo...
Igweeeeeeee
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi.
Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani...
USALITI ni kitu kibaya sana ambacho kimsingi hudhoofisha kama sio kuharibu kabisa uhusiano, vilevile hupoteza mali na muda wa mtu. Kibaya zaidi usaliti unaweza kusababisha ulemavu au Vifo...
Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba...
Habari za mchana wadau...
Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele 🙏.
Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya...
Habari za muda huu wakuu,
Nikiongelea hii fact kwamba "BIA INA LADHA SAWA NA UKE"
Namaanisha ina ile ladha halisi (pH level) ambayo unahisi unapoionjafundo la bia kwa ncha ya ulimi wako.
Kama...
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.
Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu...
Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu.
Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye...
Habari zenu waungwana siku hizi ndoa imekuwa sio kitu cha mvuto sana sababu wazazi wa muolewa wanafanya mtaji binti yao utakuta anaenda kuposa sehem mahari anayotozwa ukitoa atachopewa bi harusi...
Habari zenu ....! Hope wote tu wazima na tunafanya vyema katika tasnia ya afya.
Kama ilivyo ada wote siku ya xmass tuliburudika tukiwa majumbani na wengine viwanjani Mimi ni raia ambaye...
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo...
Ndugu zangu wanajamvi habari za asubuhi.
Nimekuja hapa kuandika uzi huu nikiomba ushauri nikihitaji faraja kutoka kwenu.
Mimi ni kijana miaka 25, mwenzangu huyu 21, nimemaliza chuo miaka miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.