Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya...
15 Reactions
110 Replies
14K Views
Mabibi na Mabwana wa JF.... Kasinde na Mahabibi wake (Da.....) tunawatakia siku ya ufunguaji maboksi mwema. Yetu tushafungua tukiwa na pajama (Usiulize maswali, sina majibu) sasa twaenda...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya familia yangu kupokea taarifa kupitia mshenga kijana wao kupangiwa kiwango cha juu cha mahali hatimaye wazazi wamegoma na wameniambia niachane na hiyo familia wataniumiza kichwa na huko...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba...
11 Reactions
65 Replies
8K Views
Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu nyie ni wazima wa afya, ni juzi tu nimejiingiza katika mahusiano na msichana mmoja hivi yapata miezi miwili lakini oversuddenly juzi tumekutana kanitamkia eti tuachane...
4 Reactions
104 Replies
11K Views
Ebhanaa eeee jana mtoto kaniblock kuanzia saa 10 jioni mpka saa tatu usiku......eti aliogopa yupo kwenye makelele hivo ningempigia tusingeelewanaaa...
35 Reactions
58 Replies
5K Views
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje. Sina mengi ila...
21 Reactions
151 Replies
8K Views
Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya. Hapa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukiwa mvumilivu haimaanishi kwamba wewe ni dhaifu, ila inamaanisha kwamba una nguvu kiasi cha kutosha kuzificha nguvu zako na madhara yake.
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mkulungwa01 nawasalimu wanajamvi, mimi na mke wangu mama Tee tumekuwa tukiishi vizuri tu, japo ni mkorofi sometimes ila huwa najitahidi kutompiga. Sasa leo asubuhi kaamka akaanza kuleta habari za...
16 Reactions
116 Replies
7K Views
Habarini za mudahuu wakuu natumaini sote tupo wazims wa afya kabisa wakuu.ni hivi mimi nina tatozo la uume kuleges kwenye tendo na hata kama uume ukisimama basi hausimami barabara sasa...
17 Reactions
277 Replies
42K Views
Kaka angu katika maisha amekua my role model, kwenye biashara kwenye maendeleo kukaa na kuishi na jamii. Lakini katika masuala la ndoa naona hilo sitamuiga yote, Kaka yeye alikua anasema kama...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati...
7 Reactions
61 Replies
6K Views
Daaah leo nimesikia habari mbaya mno, kuna mzee marehemu kabla ya kufariki aliongeza mke wa 3. Huyu mke alikuwa ni binti tu wa miaka 23. Kwa mujibu wa huyu binti, anasema siku moja usiku alishtuka...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake...
29 Reactions
117 Replies
7K Views
Wakuu poleni kwa baa la korona Hakuna watu wasomi na wadadisi wa maandiko kama wasabato. Hakuna watu makini katika swala la lishe kama Wasabato. Hakuna watu wenye msimamo na imani yao kama...
10 Reactions
108 Replies
17K Views
Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Dating for most people is something that is starting to get harder by the day, and believe it or not most people that struggle to find dates or meet someone are beautiful people. People usually...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Asilimia kubwa ya wanaume mnapishana na wanenu barabarani,amini usiamini. Yote ni sababu ya ngono zembe..ukisafiri unaokota mdada unasex nae bila kinga hata hamjuani wazungu wanaita one night...
15 Reactions
75 Replies
4K Views
Back
Top Bottom