Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa...
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia...
Hawa viumbe bwana tulidokezwa kuishi nao kwa akili na sio tu mke wako yani wanawake wote ni wa kuishi nao kwa akili.
Haijalishi ana degree 10 au ni CEO wa malapalapa compny au vyovyote awavyo...
Usiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi,
Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!!😒
Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia"...
Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!!
Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia...
Men should be stung through honey bees, but they don't should be stung through honey bees. Notwithstanding reality that young ladies are famously cunny and difficult to approach, men regardless...
Wakuu good evening.
Aisee kuna hili swala mimi huwa linanitesa sana..Mimi huwa kuna muda namtamani tu mwanamke i.e sijiingizi kwenye serious relationship,yaani nazugazuga tu kuwa nampenda huku...
Hivi mliooa na mnaoendelea kuoa mlipata/mnapata vipi hao wake mpaka kuoana? Mbona mimi sipati? Yaani hata girlfriend sina kama ambavyo watu wengine wanao.
Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?!
Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa...
Binafsi linapokuja suala la kudate nachagua sana... Naanza kukagua hadi kucha na vidole... Na mambo mambo mengi. Nmepata uzoefu mkubwa kwa jamaa zangu kwa type hizi za wanawake.
1. Usioe mwanamke...
Photo: Getty
Knowing when to break up with someone is, undoubtedly, one of the most difficult decisions you may ever have to make in a relationship.
Knowing how long to stay and when to go is a...
Habari JF
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata...
Observation fupi iliyofanyika inaonyesha kwamba wanaume wanapenda zaidi wanawake wa dhehebu la kisabato.
Sababu hasa baadhi ya wanaume Wanadai ukiwa na demu wa kisabato unakula kitu natural...
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana...
Habari
Niende Moja kwa Moja Kwenye Lengo La huu Uzi. Kuna Mauaji Yanaendelea sana Hapa Duniani hata Nchi Yetu Ya Tanzania Imeshuhudia Mauaji Haya Yakitokea Nchi kwetu.
Baada Ya Mauaji Haya...
Hivi ule wakati wa kung'onoka unajikuta mtu unasugua weeeee na mwanamke anakusaidia tena hadi dakika 30 - 45 Ila bado hupati product yoyote..tena mpaka demu analalamima amechoka au unataka...
Nilikuwa natembea barabarani mara paaap mbele yangu kama mita 30 hivi wakajitokeza wadada watano wako pamoja wanakuja uelekeo wangu yani mimi naenda kwao na wao wanakuja kwangu. Basi kidume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.