Mwishoni mwa mwaka jana muda kama huu nilipata msichana nikafahamiana nae na kufanya nae mapenzi kwa mara ya kwanza na kupata ujauzito.Alinitafuta ili anipe taarifa bahati mbaya sikua hewani kwa...
Habari wakuu mm nisingependa kuwachosha naomba niingie moja kwa moja mada husika:
Mwaka 2020 mwezi wa kwanza nilitongoza kadem( 20 age)ka mtaa ambapo nilikua nafanyia biashara zangu, wakati ndo...
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini...
Wakuu habari.
Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili...
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja...
Ndugu zangu hapa nipo hatua za mwisho kuvuta kitu kipya, kinachonifanya niwe na furaha kupitiliza ni hii issue ya mashemeji/ mawifi zenu kila mmoja ameridhia kwa dhati wote watu tumie master room...
Naomba kurudi tena jukwaani wanajamii forum, msichoke, ugonjwa wangu ni ule ule, mapenzi!!!
Kuna mdada nilimuomba namba yake ya simu akanipatia, kesho yake nampigia, simu inapokelewa na mtu...
Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.
In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi...
Pamoja na kwamba umri umeenda lakini bado sijamuona wa kumuoa.
Anayejichubua, simtaki
Asiyetoka bila makeup, simtaki
Anayefuga mikucha kama shetani, simtaki
Single mama, simtaki
Msela msela...
Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner...
Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo.
Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda...
Wakuu Habari za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu...
Utasikia "ukifa utaniacha nateseka na watoto"
Aaaaghhh hii kauli ya kiwaki sana. Huu ni ushahidi mwingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Yaani ananiwazia kufa tu.
Hivi serikali haiwezi kupiga...
Mwaka 2008 niliona shamba la ekari 23 linatangazwa kuuzwa kupitia mtandaoni, kutokana na picha za hilo shamba, nilivutiwa sana na nikaona ni bidhaa nzuri kwa ajili ya uwekezaji wa siku za baadaye...
Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo...
Usiruhusu rafiki yeyote uliyekutana naye kazini au ukubwani apazoee nyumbani kwako. Hii ni kutokana na jamii tuliyonayo kuwa na mioyo ya chuki na fitina iliyojificha. Wengine watakuja kwako...
Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date)
Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date.
sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye...
Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike.
Hayo yalisemwa jana jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.