Hivi kwanini uoe while bado una tamaa unatamani kila mwanamke uwe naye kwenye mahusiano naye. Hivi mnaoa hili kuwatesa hawa Wanawake mlio waoa
Unakuta Mwanaume ameoa mwanamke mzur ila anaenda...
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so...
Kuna mshikaji wetu mmoja alimlaza mkewe ndani kwa makosa ya kijinga kijinga tu ya maisha ya ndoa... kesho yake tukaenda kumsalimia shemeji yetu tukamkuta pale nje kituoni so tukatoka naye...
Kila mtu anayeingia kwenye mahusiano anategemea kupata furaha na Amani.Lakini inakuwa tofauti na matarajio yao.Amani inawezekana kwenye mahusiano kama mambo muhimu yakizingatiwa.
Kuna vitu...
Salaam, nimekuja kujua kitu kilichonitonesha kidonda changu, na kinaendelea kunitonesha. Ni kuwa nikiwa na miaka 7 au 8 hivi, mama yangu mzazi alitaka kuniua, kwa mujibu wa aliyenisimulia ni kuwa...
Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua...
Kuna dada mmoja wa ki Islam tumekuwa pamoja kwa mwezi mmoja. Yeye ni mama aliolewa akaachika sasa nikawa na mahusiano naye. Ila nilishamuona kuwa alikuwa na Mimi kwa kuwa alikuwa anahitaji msaada...
Nimeikopi sehemu
Nina mwanamke naishi nae yapata mwaka na miez saba sasa shida inakuja seem moja Mimba hanasiii nafanya kila niwezavyo lakini holaaaa. Nilianza kuish nae kabla sjamtolea mimba na...
Mpenzi wangu ana mdogo wake wa kiume nae kaoa ila kilichotokea
Hapa majuzi huyu mdogo wa mke wangu aligundua ya kuwa mkewe kaenda kuchepuka
Ila hakuwa na uhakika ila alichokifanya huyu mke wangu...
Wakuu kwema?
Nisiwachoshe sana na tantalila nyingi.....
Iko hivi huyu manzi sijamtongoza wala nini, ni kama rafiki yangu tu japo sio ule wa ndani kaviile. Mbinu niliyotumia ni kwamba nimemuomba...
Katika maisha ya kila siku inatokea kukumbwa na wimbi la hasira za mara kwa mara!,dawa yake ni moja tu kula mbususu kwa wingi stress utazisikia kwa jirani
Ivi huyu demu ipo siku atanikubali uyu
Maana marafiki naona wanataka mimi nizidi kuzaraulika eti ni kaze puti tu ipo siku mtoto atahingia ndani
Nilihanza 2019 mpaka sasa mtoto ana nipiga chini
Ki...
Starehe ya mwanaume ni kuwa na mwanamke anayeweza kuzungusha kichongeo chake kwenye penseli ili ichongeke vizuri.
Hivi vichongeo vikubwa (chura) huwa havichongi vizuri penseli, badala ya...
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana...
Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani.
Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae...
Kwa ufupi tu niulize kwanini mdada unakubali kuwa na mpenzi ambae ana wapenzi wengine na analitambua hilo na anamwambia jamaa kuwa hata kama upo na yule fureshi tu, kila mtu acha aplaypart yake...
Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo
Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
Hili tukio naloenda kupigwa nimelipokea Kwa mikono miwili.
Shetani umenijia kivingine kabisa, Karibu sana.
Just leaving this here for future references.
Happy Holidays!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.