Niaje, I hope mpo Gud.
Twende kwenye mada kipi kinauma sana endapo utagundua mpenzi wako anakusaliti na alikua anakuonyesha mapenzi kama kawaida au Mpenzi wako ghafla tu anakwambia sikutaki...
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?
Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya...
Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake.
Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa.
1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku...
Trump, Obama, Mark Zucky na wengineo. Hawa jamaa wana siri gani? Wanaoa wake wa aina gani? Je, ndio kusema ukiwa bilionea usioe mke mwenye tabia za 'kiswahili' na asiye na elimu? Unatakiwa uoe mke...
Vijana wengi wanapoteza muda na fedha nyingi kwenye mahusiano. Na hii inatokana na kutamani kupita kiasi, kiasi kwamba kijana yuko tayari kuhonga kipato na muda wake ili aweze kutimiza tamaa yake...
sina muda na bangi zako ila sipendi matendo yako baada ya kuvuta.
ananambia ukivuta unakua na maamuzi ya kijinga yes kutokupokea cm au kutokuonekana kwe miadi
ananambia unakua mbishi na hasira...
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua."
"Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote"
Jua ya...
Hii ilinitokea miezi iliyopita, ambapo nilitembelewa na mrembo mzuri tu toka mkoani. Baada ya kumtembeza mazingira mbalimbali, tulirudi kwa ajili ya kupumzika. Ilipofika saa 11 asubuhi, aliamka...
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu?
Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka...
Salam wakuu,
Straight to the point. Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni...
Habari za wakati huu JF?
Ndugu zangu Nina kisa cha kusikitisha ambacho ningependa kupata mawazo kutoka kwenu.
Nitajitahidi kuandika Kwa ufupi kadiri iwezekanavyo. Jitahidi tu usome upate cha...
Salaam wana JF
Imagine una miliki mtoto mkali Toto linatokea Tanga na alikuja inbox ya WhatsApp na kuniaproach then nikamkubalia vizuri kama mnavyojua wanaume hatuwezi kuwakatalia madem kwakua...
Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale...
Mtoto wa kike hajaribiwi na usije ukajaribu kupima imani ya mtoto wa kike kama anakupenda au ni mwaminifu sasa nina jamaa angu
Alimua kusajili line ya simu kwa jina jingine kisha akaanza...
UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA
Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza
uzao kwa wanadamu,
kuwaondolea...
Kwa utafiti kutoka kwangu, usio rasmi toka nikiwa advanced level, na uzoefu wangu kwa kuona, na kwa kuambiwa na baadhi ya watu, nimegundua kuwa WANAWAKE WA BONGO KARIBIA WOTE KWA IDADI YAO...
Achana na ile misemo ya mtaani, kwamba kama unapata kila kitu kwenye mahusiano, basi ndoa haina umuhimu. Au wale wanaosema ukishamuweka ndani basi anaota mapembe.
Ukweli ni kwamba huwa inafikia...
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila...
Wakuu habari?
Leo nimeingia mkoa ambao mchepuko wangu anaishi, ingawa anaishi umbali kama wa km 15 hivi kutoka hapa nilipo. Baada ya kufika nyumba ya wageni nilimjulisha ili aweze kufika kwa...
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.