Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye...
Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha...
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu...
Habr gan wanajamvi
Moja kwa moja ktk mada,mdau yeyote ambae amewahi kuwa na urafiki na binti wa kizungu,naomba experience sababu wao tumetofautiana utamaduni na mamb mengn mengi.
Msaada huo...
Katika harakati zangu za kubana matumizi ili nitimize malengo yangu, nimegundua njia pekee ni kuachana na wanawake na kubaki na msichana mmoja ambae mpaka sasa hivi sijampata.
Nimeachana na...
Habari zenu humu,
Wafugaji wapo wengi jamani wewe fuga kuku, wenzako wanafuga ukucha, kha! Hawa wafugaji wako vijijini na mijini, hivi katika pitapita zako mdada ukikutana na mwanaume amefuga...
Kuna huyu binti snitch snitch alipeleka umbea kwa mpenzi wangu kwamba kaniona niko na binti mwingine naenda kumsaliti Lodge. Kiufupi alileta tafrani kubwa sana ukizingatia mpenzi wangu mwenyewe...
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa...
Kwanza sizai watoto kwa sababu ya kunitunza uzeeni niweke wazi. Ikitokea hivyo basi ni wao tu na Huruma zao waamue kunitunza mimi mzee ambae pengine nilishindwa kujiwekea Akiba ujanani kwangu...
Yaani eti unakuta mwanamke anakuambia hapendi kuwa controlled. Haya akipata mwanaume asiyemcontrol anasema anaboa anataka mwanaume mbabe anayejua kucontrol.
Hbr zenu,mm ni mwanaume miaka 40,nimeingia katika mgogoro na wife kiasi cha kuamua kutoa talaka baada ya kugundua ametoa ujauzito wa miezi2 ambao mm sio mhusika,nikimhoji anakuwa mkali huku...
Wadau kwema.
Mwenzenu kuna manzi nilisomaga nae primary school huko Kazulamimba years ago, sasa kupitia haya ma Group ya WhatsApp mtoto wa kike tumezoeana gafla na viutani vya hapa na pale vya...
Wakuu poleni na majukumu.
Ukiwa na dada inakubidi tu kukubali kupata mashemeji.
Sister kampata mzungu kutoka uropa na wako serious ndoa ifungwe.
Naomba kujua yafuatayo:
1: Je, ni utaratibu...
Natumai Mko wazima...
Mambo yasiwe mengi sana, itoshe kusema kuhonga ni kipaji sana na wanaohonga wanastahili kupewa tuzo asee.
Jana bhana kuna pisi yangu moja ilikuja maskani napopendelea kukaa...
Hii nimeshuhudia kwa macho yangu katika moja ya clubs za usiku hapa mjini
Nikiwa na mshikaji wangu wa kiume tunafanya yetu club (pombe na kusmoke kwa saaana,huku tukiangalia matrako ya warembo...
Habari za wakatii huu natumaini mpo poa wote.
Ni kitu gani una jivunia ku mpa mwanaume mbali na SEX ambacho akienda kwa mwingine hawezi kupataa....?
Karibuni...
UNAPO-CHAT NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII:
WEWE: Oya!
YEYE: Nambie!
WEWE: mzima!
YEYE: Mi mzima ww je?
WEWE: Niko poa
YEYE: Ok
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO...
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako.
Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba...
Salamu sana kwa wote..
Juzi hapa jamaa mmoja na rafiki ananifuata akilalamika kuwa ana almost miezi miwili na nusu hivi hapati hamu, nyege, utamu wala burudani wakati anafanya mapenzi na mke wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.