Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nakuja mbele yenu wana-MMU kutangaza wazi kabisa kwamba nampenda huyu mrembo wa kuitwa kritika . Kilichonivutia kwake Japo nimeoa, naahidi kukupenda katika shida na raha, utamu na uchungu, ups na...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Katika harakati za kujenga uchumi wa kati (mapenzi) tunakutana na matatizo mengi kiasi kwamba hadi unaona huna nyota kabisa. Binafsi niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kishua sana ....ilini save...
2 Reactions
69 Replies
5K Views
Hivi ni kweli unaweza ukakutana na mtu sahihi kwenye maisha yako na usijue hata aende!? Kwenye mahusiano ya kimapenzi na hata kimaisha kwa ujumla hutokea sana,yaani mtu anaweza akawa na umuhimu...
4 Reactions
3 Replies
933 Views
Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu Baada ya kupitia nyuzi mbali mbali humu na malalamiko ya baadhi ya wachangiaji kuhusu ugumu wa maisha ya ndoa nimegundua kwamba wanaosema wanaume hawajatulia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeiona hii kitu mahali, inaweza kuwafunza wengine humu. Na. Irene Mbowe Wasichana mlio kwenye Ndoa natamani sana mambo yafuatayo muyaishi na kuyazingatia...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Je ni kweli wadada wengi wenye umri kuanzia 30 na kuendelea ambao wengi wao wapo single inapofika stage ya kutafuta ndoa au mume wa ndoa wengi wao huingia katika ndoa kwa nia ya kutoa nuksi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam, Kuna mwanamke hapa mtaani anazusha nshatoka nae akati sina mazoea nae zaidi ya salamu, je atakua anamaanisha nini wakuu?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
1 Wakorintho 13 (Biblia Takatifu) ¹ Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. ² Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
In 1964, Paul McCartney of the Beatles famously sang, “I don’t care too much for money, money can’t buy me love.” While Mr. McCartney’s sentiments were definitely a major foreshadowing of the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa ufupi Wanasayansi wengi wa tiba wametoa machapisho mengi ya kitafiti kuhusu urefu na upana wa uume juu ya wastani unaokubalika. By Julius Mathias, Mwananchi Moja ya jambo ambalo huwaumiza...
3 Reactions
120 Replies
130K Views
Lugha ya kichwa cha uzi inanasibu... Leo nilikuwa kwenye kijiwe changu cha kustaafia, Kasinde Juice Shop. Akaja mdada mmoja nikawa nachukua ladha za matunda anayotaka nimsagie juice.... Kumbe...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Unaweza kuwa na harusi nzuri lakini usiwe na ndoa nzuri, na unaweza kuwa na ndoa nzuri ambayo haikuwa na harusi nzuri. Heri waliofanikiwa kupata harusi nzuri na ndoa nzuri, na waliofanikiwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:- Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku...
41 Reactions
70 Replies
7K Views
Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama ilivyo jieleza hapo juu mimi ni mtumishi wa afya katika zahanati fulani, mwezi uliopita mkewangu alienda kwao kutokana na matatizo fulani na mimi nilikuwa ndio naanza likizo. Kunasiku jamaa...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom