Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hakuna safari ndefu kama safari ya mahusiano huwa ina mabonde na malima lakini Moja kati ya changamoto kubwa katika mahusiano kuelekea ndoa ni wazazi kupinga au kumkataa mchumba unayetaka kumuoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika universe yetu kuna kanuni zake ( nilishawahi kuichambua universe katika post zangu za nyuma hivyo sina haja ya kurudia tena ), kanuni ambazo zinatawala ulimwengu huu, kanuni ambazo...
15 Reactions
18 Replies
1K Views
Baadhi ya vijana hawa wengi wao ni vijana waliopo chuoni. Kama hayupo chuo basi yupo mtaani na vyetiii anahangaika kutafuta kazi. Wengi wanaishi kwa mashemeji zao na nyumbani Kwa wazazi wao...
17 Reactions
398 Replies
24K Views
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:- Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Kibamia kama sijakosea nadhani ni kielezi kinachoelezea Uume namna ulivyomfupi kuliko kawaida. Aidha Kibamia ni msemo ambao wanawake hupenda kuutumia sana kuwadhihaki waume zao, wapenzi na hata...
0 Reactions
99 Replies
63K Views
MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa...
36 Reactions
107 Replies
12K Views
Habari wakuu Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida. Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na...
30 Reactions
115 Replies
8K Views
Katika mazingira fulani kaka na dada (mama zao mtu na mdogowe) wakajikuta wameanza mahusiano hatimaye kupata mtoto. Dada alipoulizwa na wazazi wake kuhusu mimba akamsingizia mtu hewa, mtoto...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Wakuu heshima mbele hii ni special kwa madomo zege "Ulishawahi kujikuta unatamani kuliko kumtongoza msichana mzuri sehemu fulani japo upate namba yake ya simu ila unajikuta huna jinsi yeyote au...
2 Reactions
29 Replies
157K Views
Wakuu Habari!! Nilikuwa na kasicha tuliko fahamiana kitambo kidogo kama marafiki tu kuna siku niko katika harakati zangu za maisha akanitafuta tuonane kama rafiki yake nikaona sio shida tukakutana...
7 Reactions
120 Replies
10K Views
Mimi ni binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo. Nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidato cha sita baada ya wazazi wangu kufariki...
6 Reactions
82 Replies
12K Views
1. Dalili ya kwanza mapenzi huongezeka kipindi una hela au amegundua una hela ila hela ikipungua mapenzi hupungua. 2. Mwanamke anawekea kipaumbele mipango yake kwanza itekelezwe kuliko mambo...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Well, Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea Anakukwepa kuonana na wewe Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane...
7 Reactions
27 Replies
12K Views
1. Furaha yako ya kuwa na mahusiano imegeuka kuwa hofu ya kuachwa. Unakuwa na mawazo na unaonyesha kuchoshwa na uhusiano uliopo. 2. Hali yako inategemea hali ya uhusiano ikoje wakati mwingine...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni sahihi na yupi si sahihi kuitwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes. Nifanyaje...
16 Reactions
134 Replies
16K Views
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao. Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza...
16 Reactions
210 Replies
19K Views
1. Ukiona mpenzi wako ni mgumu kuomba msamaha pale unapoona anakosea 2. Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kukuza mambo yaani vitu vidogo anavifanya vikubwa 3. Ukiona mpenzi wako ana tabia...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Moja kwa moja kwenye mada Mara nyingi sisi vijana tunapotafuta wenzi wa maisha maigizo huwa mengi sana hatuuishi uhalisia wa maisha yetu. Kuna misemo eti "mwanamke...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom