Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Penzi ni makubaliano baina ya watu wawili walioamua kuacha kila kitu na kuwekana moyoni lakini sio mara zote unayempenda na wewe akupende swali linabaki utajuaje kama uliyenaye anakupenda, leo...
13 Reactions
105 Replies
9K Views
Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza. Hayo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani...
8 Reactions
104 Replies
6K Views
Boys .. Yupi we una mfeel sana just be honest Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri Girls Yupi we unampenda sana? Kapuku ila anajua kufanya...
2 Reactions
127 Replies
17K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimekua kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa takribani miaka nane, tumeishi kwa upendo saana, kila mtu alikua anaguswa na shida ya mwenzie pindi jambo...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Nina mdada ambaye nimetokea kumpenda sana kiukweli huyu dada nampenda sio kidogo Nimekua nikimwambia mara kwa mara lakini yeye anachukulia kama mzaha wakati mwingine anakua kama anaeleweka wakati...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili. Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri...
10 Reactions
93 Replies
6K Views
Hello guys pole na majukumu, niseme kilichonifanya kuandaa uzi bila kuchelewa ni kwamba kuna mdada nimpachike jina la Na!,ni mrembo kiasi japo si kivileee, Miaka kama miwili sasa imepita nilikuwa...
2 Reactions
69 Replies
5K Views
Wanajamvi habarini na poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nianze kwa kuwapa kongole wazazi wote wanaotambua wajibu wao wa malezi kwa watoto wao mungu awabariki. Pili nijikite katika mada kwa...
2 Reactions
0 Replies
756 Views
Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo...
10 Reactions
61 Replies
5K Views
Jamani ndoa ngumu sana. Mfano umeolewa/umeoa halafu ikatokea siku umetoka zako mishe umefika home halafu ukapitiliza bafuni kuoga, inakuwa nongwa. Tena nongwa kweli kweli. Kwanini?? Shout out...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Linapokuja suala la mapenzi haijalishi mwanamke ana uzuri kiasi gani nikimtongoza akianza kuniringia ringia naaghairisha kuendelea kumfutilia Nawaza mtu ambae atatoka kwao au kwake kwa pesa...
16 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam wapendwa! Bado sielewi nasikia tu makelele humu kila mara eti "Pisi kali"pisi kali imekuwa ndio habari ya jf lakini mie kila nikitafakari nashindwa kudadavua "U"pisi kali unatokana na...
2 Reactions
11 Replies
878 Views
2020-10-25 12:04:40 Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari za majukumu wakuu? Nilikua naomba kujua ni sababu gani zinazowanya wanaume waliooa kutokukataliwa kizembe na wanawake wa rika tofauti, wakati sisi ambao hatujaoa sometimes inaweza ikapita...
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:- Wavumilivu katika mahusiano Wana wivu sana kwa waume zao Wanapenda sana tendo la ndoa Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi...
6 Reactions
51 Replies
10K Views
Hello guys, Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!! Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa. Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii...
77 Reactions
376 Replies
27K Views
Kuachana na wapenzi wa kwanza huumiza, wakati mwingine vigumu kupona vidonda vyake wengi huyumba sana kimahusiano wanapopata wapenzi wapya. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua ili umsahau mpenzi...
3 Reactions
17 Replies
24K Views
Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi? Pesa unaweza...
8 Reactions
5K Replies
471K Views
Back
Top Bottom