Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu, sasa kama ni kweli haya mambo yanatendeka basi wanaume lazima tujue tunapigana vita vikilai sana ama kwa kujua ama kutojua... Uzi tayari...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wadau wa MMU, Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wanaJamii Forum Bas bwana baada ya mida ya kazi huwa napenda kukaa kwa wakala mmoja hivi anasajil lain pamoja na kutoa pesa ss kuna fundi nguo mmoja anashona nguo karb yake, kila nikiwa...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli. Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika maisha yangu ya kila siku hasa katika uchakataji mbususu baada ya kucheza rafu za hapa na pale hatimae nikakosa confidence ya kuweza kusimama na kujiona mzima wa afya. Basi huku na huku...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza nipende kuwapongeza mno na kuwasifia sana wale woote ambao huzifanya bedroom zao sehemu za kuvutia mno, ambapo hata mwenzi wako aingiapo pamoja na uchovu wote hupata mandhari tofauti na...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi. Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti Baadhi ya maneno...
2 Reactions
2 Replies
967 Views
Salaaam, Nawa-admire sana wanawake wasio na aibu faragha coz wapo open sana na ni wepesi kuonesha mautundu yao kwenye game tofauti na wanawake wenye aibu. Wanawake wenye aibu faragha ni wagumu...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Wasaalam, Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako, ndugu yako kusalimiaa etc. Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja...
10 Reactions
192 Replies
8K Views
Jamani nimekuwa nikipita juu kwa juu bila kuchangia mada yoyote kwa muda mrefu ila leo nimekutana na habari ktk gazeti imenikunaaaa mpaka nimeona nijamiiane na wana mmu. Kwamba wanafunzi 22 wa...
7 Reactions
199 Replies
42K Views
Habari wana JamiiForums. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ninaye rafiki angu sana tumeshibana sana. Yeye ameao pande za Tanga. Binti wa kidigo mfupi kiasi, mzuri na anachoo cha kutosha. Sasa...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Habarini wana JF Nilikua namikasa isiyo elezeka kama ifuatavyo: Mwaka 2017 - nilikutana na mdada flan nkamtongoza akakubali lakin tulikuaja kuachana cz alinikaushia. Mwaka huohuo tena nikaopoa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli...
19 Reactions
92 Replies
7K Views
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko...
16 Reactions
80 Replies
6K Views
Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na...
22 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakuu naomba maoni au ushauri au Kama na wewe una hii Hali unaweza kujazia, sijajua Hadi Sasa Ni kwa nini kila mwanamke naemtongoza anakubali!!! Hii Hali imekua ikinistaajabisha Sana sio mimi tu...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom