Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yapata miaka 2 kwenda mi3 sasa, nimekuwa na uhusiano wa kimapenz na Tomboy (Binti Massawe), ni binti mzuri sana yuko smart pia. Huyu...
32 Reactions
201 Replies
43K Views
Salaam Wakuu, Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini. Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Wapo wanaume wasio fanya kazi ila wanataka kulelewa na kuhongwa, ni kabila lipi linaongoza kwa tabia hiyo maana hata kuoa hawataki.
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Wanaume wenzangu wa Mwanza msitumike kizembe kulipia hela ya Savannah na bia za bei mbaya wakati kuna mademu wengi kuanzia hapa Kona ya bwiru the dream resort mpaka diamond outlink ni wanywaji wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Imetokea Gulu Kaskazini mwa Uganda, tarehe 4/11/2021 Uchawi upo
3 Reactions
74 Replies
5K Views
Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu. Ameshachuma na...
13 Reactions
155 Replies
12K Views
Habari wana jf! Nawaslim kwa jina la JMT lililotukuka. Nirud katika mada, ndug zangu nmekutana na kastori ka kweli ka ushuhuda kamemkuta kijana mwenzetu hapa mbagala. Aaacha kabisa Yani! Wazee...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jf ,bila kupoteza muda nije moja kwa moja kwenye mada. Takribani kama wiki moja hivi nilikutana na pisi kali sana ikiwa dukani ikiuza.Baada ya maongezi ya hapa na pale...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Kuna mtu ukiwa naye kwenye mahusiano/ndoa vile anavokupenda na kukutreat ikitokea umemcheat unajihisi mkosefu sana mbele zake hata ukawa na majuto. Kuna muda unatamani kumuomba...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Habarini Ladies & Gents nije kwenye mada moja kwa moja eti wadau unatakiwa uchukue muda gani kuanza kumtongoza mtoto wa kike baada ya kukupa namba? Naona kama nimeharibu kaniambia mimi sio type...
10 Reactions
133 Replies
9K Views
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta...
19 Reactions
125 Replies
10K Views
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19. Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam, Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi. ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa. Wanawake wenyew ndo kama hawa: wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya...
3 Reactions
65 Replies
15K Views
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana...
21 Reactions
45 Replies
6K Views
Wasalaam, Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi. Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu...
5 Reactions
99 Replies
6K Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza kwenye kongamano la kupinga unyanyasaji wa kinjinsia nchini amesema serikali imedhamiria kukomesha rushwa ya ngono vyuoni kwani kwa sasa imekithiri...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam, Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi. ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
3 Reactions
4 Replies
631 Views
Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu. Mara nyingi sana huwa tunazungumza na mke wangu changamoto za ndoa ili kujilinda mapema afu badae...
13 Reactions
84 Replies
15K Views
Back
Top Bottom