Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana JF, bhana nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na nimepanga ajr kuwa mke wangu ila wiki kama tatu zilizopita nilimkosea nikawa nimemuumiza sana....Lakini nimefahamu kosa langu na...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki...
6 Reactions
67 Replies
9K Views
Hakikisha humpi salamu mwanamke au mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo kama huna gari: Asiye msomi, mwenye muonekano usio wa kisomi (wasomi wanaonekana, nimeeleweka) Asiye na sura ya kuvutia...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Shikamoni, habarini Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa. Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu...
11 Reactions
125 Replies
10K Views
Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini. Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi...
62 Reactions
365 Replies
37K Views
Waungwana natumaini kuwa mu wazima! Twende kwenye mada, familia nyingi Afrika ziko kwenye mgogoro au kamgogoro, na migogoro hii husababishwa hasa na mambo ya fedha au mapenzi nje ya...
56 Reactions
239 Replies
32K Views
Haiwezekani kati ya Wake za Watu Kumi ( 10 ) unaowabandua (unaolala) nao Tisa ( 9 ) ukiwa nao Vitandani wanalalamika kuwa Waume zao wamekuwa 'Goigoi' kama Wachezaji wa Klabu ya Yanga SC na kwamba...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo...
10 Reactions
57 Replies
11K Views
Uwiano katika mahusiano ni kitu kisichoepukika, kama unataka kufurahia mahusiano yako. Mwanamke mnene anatakiwa awe na mwanaume mwembamba Mwanamke mwembamba anatakiwa awe na mwanaume mwembamba...
0 Reactions
6 Replies
922 Views
Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
MALAYA NA UMALAYA Na, Robert Heriel Leo tuzungumze kidogo kuhusu Malaya na umalaya kwa ujumla wake. Umalaya ni kitendo cha mtu kutoa huduma ya ngono kwa lengo la kujipatia faida, iwe ni faida...
7 Reactions
37 Replies
14K Views
Kila mtoto ana haki ya kuishi, kuwa salama, kuwa na wazazi/walezi, kusikilizwa, kupata huduma muhimu na kukuwa katika mazingira salama. Familia ndicho chanzo cha ulinzi wa mtoto. Wazazi au walezi...
1 Reactions
2 Replies
799 Views
Ni hivi jamani mimi ni kijana wa miaka 24 naomba ushauri wa kimahusiano. Mimi mwenzenu nimekuwa mgumu mno wakuwa na mahusiano kwa sababu mbalimbali ambazo mimi nazisimamia akini napata tabu sana...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Paukwa....! Ikawa asubuhi, ikawa jioni.... Hii ya jana mchana, bado ya moto kabisa .... Basi bwana, jana mchana nilipita mgahawa mmoja jijini Daslamu kupata mlo wa mchana. Nilikuwa mwenyewe...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Kiukweli nimekuwa msomaji mzuri wa hili jukwaa na najifunza mengi Sana. Kuna sehemu humu JF niliwahi kusoma eti mwanamke alietoboa masikio ZAIDI ya TUNDU MOJA ana tabia ambazo sio nzuri. Je...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Aisee! Hivi nyie mnawezaje kudate na vibinti vya under 23 yrs? Aisee ni visumbufu sana mpaka kero aiseee nimenyoosha mikono. Kuna kabinti nilikaotea mjini hapa anasoma chuo mjin hapa kana 22 yrs...
11 Reactions
40 Replies
6K Views
Heshima kwenu wapendwa.... naomba kuuliza... kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata na mwanamke?
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi mchaga wa Marangu ,ila nimezaliwa Dar kukulia dar mpaka Leo naishi Dar,Kazini nimepata kasafari Ka kuja Arusha Mimi nahisi nitagongwa na Magari Vijana wa huku kama Mablack America flani...
20 Reactions
147 Replies
15K Views
Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nazungumzia sisi wajuba ambao tunaishi na wanawake kwao hatujulikani wala hatujatoa hata kumi na bado tunaishi na wanawake hao mwaka ama mwaka miwili ama mitatu na watoto wametuzali. ,Je, tuwaite...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom