Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao; utajuta!
Wengi wamezipiga nyuso zao 'plasta' pamoja na 'kuziskimu' kabla ya kuziweka kwenye mitandao.
Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe...
Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi
"Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."
Kwa ibada, maombi, heshma...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu...
Miongoni mwa mambo yanayopelekea mahusiano mengi ya ndoa kuvunjika ni pamoja na kutoa baadhi ya vitu, maneno au matendo yanayoihusu ndoa yenu kuwapelekea watu wengine ambao si wahusika wa ndoa...
(Ni kweli)
Nilibahatika kufanya ziara na kwenda kushiriki na ndugu na jamaa mikoa ya kati. Nilisafiri asubuhi hadi saa moja unusu nikawa nimefika mkoani, ikabidi nitafute sehemu ya kujiegesha...
BANDUGU ZANGU LEO NMEKUJA NA HUU UZI
ATAKAYEKUOA SIFA ZAKE NI KAMA IFUATAVYO...
1. ANABADILIKA
Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hutaka Kuonekana Mtu Mzima Mwenye...
Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing).
Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa...
Kwema wakuu
Kuna workmates wangu tunafanya naye kazi ofisi moja ila kitengo tofauti
But tunapanda gari moja la ofisini maana tunakaa mtaa mmoja
Mwanzoni nilikua namchukulia kama mshikaji wangu...
Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake
Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi...
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini Dare es salaam, katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile, basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana.
Aisee Mke wangu wakati wa kunyanduana anapiga Sana kelele mpaka ananiondolea stimu maana nilishafanya tathimini kujua kama sauti...
Salaam wana MMU,
Vyeti vya ndoa vinavyotolewa makanisani,misikitini na bomani vyote ni mali ya serikali. Nimejaribu kutafakari jinsi ndoa zinavyokuwa ngumu kila kukicha,kuna watu wanaishi maisha...
Pale wanapopenda. Idea ya kwanza kichwani kwao huwa ni ipi?
Ngojea nifafanue:
Ikitokea nimemkubali msichana flani, niwaze niwazavyo ila mwisho wa siku ntawaza kusex nae kama main root (sitaki...
Habari wazee ! Mambo yako hivi!
Mimi na mtarajiwa wangu ambaye ni mzazi mwenzangu tulibahatika kupata first born wetu, wakati huo akiwa mwaka wa kwanza chuo.
So badae alirudi home kujifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.