Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU nawasalimu Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado...
7 Reactions
161 Replies
12K Views
Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke. Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje...
13 Reactions
107 Replies
13K Views
Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party. Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Salam kwa wanajukwaa,. Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu. Anasema aki-interact na...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
[emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180] Makosa mnayofanya baadhi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimewahi tena mara nyingi na bado mawazo hayo hunijia, hali inakuwaga mbaya hadi nafiikiriaga kutumia unga sema hizi coctail za bongo ni kujiongezea matatizo, mwisho naamua kupiga gambe tu. Ila...
4 Reactions
145 Replies
23K Views
Nawasihi ndugu zangu tunaokunywa pombe kweli bia ni tamu ila ukiwa kama kijana mdogo below 30 unayetaka kuwa na familia Basi jiepushe na pombe kataa kabisa pombe sema hapana kunywa zako juice na...
19 Reactions
89 Replies
6K Views
Wakuu jana nimepata msala mkubwa katika maisha yangu sisi kwetu huwa tuna ka tamaduni ketu ka kufuga nywele sehemu nyeti uwa tunapenda sana kufuga nywele sehemu za siri hata sometime uwa...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Week iliyopita nilikuwa naongea na ofisa mmoja wa serikali, ni rafiki yangu tulikuwa tunajadili suala la hizi condoms, je vipi kama ikitokea umefanya na demu asiyeathirika, ila ukapata mchubuko...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mwanamke tumejuane nae mara ya kwanza tulionana Arusha yeye akisoma chuo fulani na yeye akisoma chuo fulani hivi Baada ya kuhitimu kila mtu akaelekea njia yake, tukaja kuonana dar tukawa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana ilikuwa siku ya wanaume duniani. Cha ajabu hakukuwa na mijadala wala post katika mitandao ya kijamii wala hata vyombo vya habari. Je, hii inamaanisha kuwa jamii kwa sasa haisheherekei uwepo...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukiwa uko kwenye mchakato wa kuanzisha mahusiano, na ikatokea mmoja wenu anakuuliza unafanya kazi gani? Moja kwa moja jua huyo anataka uhusiano wenye faida hasa wa kipesa na si mahusiano ya shida...
9 Reactions
114 Replies
9K Views
Wakuu iko hivi katika ukorofi wangu nilitongoza msichana wa 19s akajaa vizuri tu na nikaanza mchakato wa kula tunda japo mtoto alikuwa hataki lakini nilicheza kama Cr7 hatimae nikafanikiwa kula...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Salute bosses... Mara ya mwisho kupost hapa MMU ilikua miaka miwili iliyopita, bado nilikua chuo enzi hizo - kukimbizana na totoz, kuvaa macheni n.k, lkn sasa tumekuwa hata vitu vinavyozurura...
34 Reactions
59 Replies
9K Views
Mimi sio muhongaji japo ni mtu wa Matumizi sana pale linapokuja swala la umeng'enyaji wa papuchi kutoka kwa mtoto mzuri, Sina kariba ya kuhudumia mpenzi labda awe ni main na huduma zangu...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom