Boy introducing his 95th girlfriend to his boys
HIS BOYs: hatujui hata umempa nini broh wetu hatujawahi muona akiwa kwenye love like this
Alafu Girl nae Anajibu: ' ni mapenzi tu'
😅😅😅
Maisha ya mjini kila mmoja anapambana kwa kila njia ili aweze kutimiza malengo yake. Mbaya zaidi baadhi ya dada zetu, wanatumia uhusiano kama fursa ya kutimiza ndoto zao. Unakuta mzee wa watu...
Sitasahau mwanaume Mimi nilivosutwa na yule Dada,
Nakumbuka tulikua tunafanya kazi taasisi flani ivi tuliajiriwa kama kumi ivi kwenye intake moja wanawake 6 na wanaume 4
Mimi kiroka nikashibana...
Heshima kwenu wakuu. Usipite bila kushauri.
Kuna issue ya kimahusiano inaleta utata kwenye familia.
Tuna kaka yetu mkubwa ameo mwaka wa Saba sasa na hawajabahatika na mkewe kupata mtoto. Familia...
Nina binti yangu ana miaka 12 na ningependa abobee kwenye 'animation' kwa sababu lengo langu ni kuanzisha kitu kinachoitwa 'Home of Animation'. Nimependa fani hiyo kutokana na fursa nilizoziona...
Habari wandugu
Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo...
Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu...
In any kind of relationship, a breakup doesn’t happen suddenly! If you’ve been going through a hard time with your partner, agonizing
about whether to stay or not, just take some time alone and...
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2017 nikiwa form 2 nilikuwa kwenye mahusiano na demu mmoja ambaye tulipendana mno, mapenzi ya kishule shule yale. kidume nilizama mno kiasi...
Habari wakuu
Kiukweli kabisa kama kuna mdau yupo humu zaidi ya mwaka na bado anateswa na mapenzi basi huyo ni zuzu, Maana humu kuna mbinu zote za kila changamoto ya kimahusiano yawe ya kawaida...
1. Zamu ya kulea mtoto.
2. Makelele ya mama kwa watoto.
3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote.
4. Kupekuliwa simu.
5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara.
Ongeza sababu zingine. Kama zipo
Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap.
Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa...
Mahusiano mengi huvunjika kutokana na kutokujua sababu iliyompelekea mwanaume/mwanamke kuwa kwenye mahusiano. Wapo walioanzisha uhusiano kwa malengo yafuatayo,na wengi wao uhusiano wao huwa...
Habarini za humu JamiiForums ....Kwanza kabisa nitoe angalizo sihitaji matusi au kejeli...
Ipo hivi mimi ni kijana umri wangu miaka 25 ni mhitimu katika chuo Kimoja hapa hapa Dar es Salaam...
Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'
Kutokana na uzuri wa mtoto, najikuta nahudumia tu bila kuchoka ila nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product'...
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na...
Habari wanaMMU..,
Kuna msichana tupo katika dating sasa tumefikia makubaliano ya kufunga ndoa tujenge familia ya watoto kadhaa changamoto iliyokuwepo ni huyu mwenzangu anataka tuishi tu hivihivi...
Annastazia.
The woman I truly loved but due to some reasons we parted our ways she deeply hurt me after cheating on me and later got married to another man. I got traumatized for years and tried...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Juzi nilikuwa club na rafiki zangu tunapata beer mbili tatu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6, kwa bahati mbaya nilichelewa kurudi, nilirudi...
Hope wote ni wazima, tuendelee kuchukua tahadhari kujikinga na janga la covid-19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa, kutumia vipukusi pale ambano si rahisi kunawa na ku-keep social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.