Habari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina...
Wadau nikiwa na ushuhuda nimepitia Changamoto ya kuishi na Mwanamke mpenda ushirikina (Nguvu za Giza) IL nilikaza na kuvumilia mengi. Ishu ni kwamba bado Nina kiu ya kutaka kujua Nitajuaje...
Mnaosimamishaga pisi njiani na kuomba namba na mkapewa nisaidieni mwenzenu. Nimezoea wa restaurant na bar ambao nawakutaga wamekaa hapo kidogo inakuwaga rahisi mno. Lakini hisi za barabarani eti...
Mwaka 2013 niwazi nilikua nipo kwenye level ya juu kabisa ya mapenzi na nlipitia mahusiano yaliyovunja moyo wangu,nilikosa Furaha, sikuwahi kuhisi kuumia kama kipindi kile, nililia kama mtoto...
Hili suala nilipolianza wengi hawakunielewa. walidhanni labda nafanya masikhara. na wengine wakaenda mbali sana kunirushia matope ashakum si matusi matope ambayo walikulia katika hayo...
Habarini wana jamvi
Siku kadhaa zilizopita nilileta malalamiko humu kuhusiana na dhulma niliyofanyiwa na kutapeliwa ardhi yangu.
Naomba nilete feedback na kutoa shukrani kwa wote walionishauri...
Natumai wote ni wazima
Juzi nilipanga kuonana na mpenzi wangu tutoke out weekend tukale bata ndogondogo za hapa mjini baada ya mihangaiko ya wiki nzima. Sijui ananipenda kiasi gani ila mimi...
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.
Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na...
Habari za jion wapendwa
Wakuu kuna mwanamke nimempata takribani tuko kwenye mahusiano miezi 8 amegoma kutoaa papuchi kabisaaa nimeongea maneno yooote bado haelewi somo
Ananiambia mpaka nimuoe...
Ndugu zangu tangu naanza uchumba na mke wangu adi Sasa tuna miaka 3 kwenye ndoa na mtoto mmoja,,sijawahi kusherekea nae siku yake ya kuzaliwa Kama ilivo apo juu.
Mara nyingi amekuwa akituunga...
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa...
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home...
Habari wana JF
I hope wote wazm wa afya naomb kuomba ushaur kuhusu hii issue.
Kuna ndugu yangu aliwahi kuwa n mwanamke wake na walipendana n walifanikiwa kuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo more...
Wana JF, kama title hapo juu inavyosema
Yaani kiukweli, sijui tatizo hili ni kwa sababu ya ugumu wa maisha au ni aina ya mapenzi ya sasa, yaani sielewi nimekuwa nipo single kwa muda sasa...
Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia...
Wanawake wana kisasi sana. Anakupa mbunye ukimfurahisha, anakunyima ukimuudhi au ukimkosea na pia atampa yoyote hata asiye mpenda ili tu kukukomoa.
Usiombe mwanamke akukomoe, anaweza hata...
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi...
Nimeamini wanawake wakiwa na Mimba huwa wanakuwa na visa sana,
Alinizoesha yeye mwenyewe kunipa haki yangu kila siku baada tu ya kumpa mimba iliyopelekea tukae pamoja tena kwa nguvu ya Dola...
Mawasalimu kwa jina la JMT.
Nalishuhudia hili jambo. Kumbuka ewe baba umri unaenda itafika kipindi hauna nguvu za kufanya kazi, utakuwa umestaafu na utakuta haukujenga ukaribu na wanao. Watoto ni...
Tupe na Experience alizingua nini?[emoji23]
Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu! [emoji23][emoji23]
Nikamuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.