Habarini wandugu
Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu kwa ukarimu upendo na undugu uliopo baina yetu japo wengi wetu hatufahamiani lakini tumekuwa tukisaidiana hususan kwa ushauri...
ninawazia sana wanangu wa kike.
Je niwalee kwa misingi ipi.
Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
Nitaweza? Nitawezaje?
Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi
Vipi...
Napenda sana slim girls (English figure), nilipokutana nae alikuwa mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahipsi hipsi na mwili sana, I like models but inaonekana ana asili ya mwili...
Wazima wa afya? Natumai ni wazima, wakubwa zangu shikamoni, najua kuna wazee wa heshima humu.
Katika kutoka kimapenzi na wasichana, na siku hizi vibinti vinakuwa vinahamasisha kuliko hata watu...
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi...
Amani iwe nanyi.
Siku kadhaa hivi nilikuwa na safari, nikatumia usafiri pendwa wa ndugu zetu Waha.
Nimefika station nasubir gariMoshi hatiMae likawasili, nikaingia kwenye behewa langu pamoja na...
Habarini, shikamoni na poleni kwa majukumu.
Refer the heading above, naanza na visa viwili au vitatu kulingana na mada tajwa hapo juu.
Kisa Cha kwanza.
Kipindi Niko advance nilifahamiana na dada...
Habari zenu wana jf?
Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada.
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo...
Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo...
Kama ilivyo ada ni swala la kawaida kwa karne ya 21 watu kutongozana msela au mtoto mzuri anakufata na kukuambia anakupenda anahitaji kuwa muwe wapenzi, Pale ikitokea mtu ambae unamtaka muwe...
Habari za weekend kakaz na dadaz? Anyways ngoja niende kwenye swali
Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi hivi ni kwanini wanawake inakuwa rahisi sana kwao tena wanaona kawaida kuwa na urafiki na...
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,
Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi, hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.
Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani...
Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe...
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.
1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake...
Wasalaam wapendwa wa MMU.
Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?'
Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika...
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo...
Jaman wazee wa JF,
Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins...
USIJILAUMU KWA JAMBO AMBALO HAUWEZI KUBADILI MATOKEO YAKE.
Maisha ni safari ndefu,na katikati ya safari mwanadamu anafanya makosa mengi sana kupitia mawazo yake,meneno ya kinywa chake na hata...
Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii.
Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content...
Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba Hasira ni mbaya, na kwa sababu hio hatutakiwi kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.