Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ninavutiwa sana na uandishi wake. Kupitia uandishi wake nahisi kumpenda. Natamani kama itokee siku moja nimuone, japo nimwambie, MAMBO! Evelyn Salt, pokea salamu zangu zilizojaa mapenzi
4 Reactions
105 Replies
8K Views
Assalamu alaikum, Mapenzi majani huota popote. Imepita takribani Miaka zaidi ya 10 na kidogo tangu nilipokutana na msichana wangu wa kwanza, mdada aliyenifanya niinjoi maisha ya sekondari, mdada...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimepigiwa simu na A baada ya dakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya nitakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari!! Naomba niwape kisa ambacho kinanisumbua Sana kuhusu mahusiano. Nina mchumba wangu wa kike ambaye ni mwanafunz wa chuo kikuu ktk moja ya vyuo vikuu apa nchini. Ni mwanamke ambaye...
10 Reactions
137 Replies
10K Views
Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea...
40 Reactions
138 Replies
14K Views
Asalaam, Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo. Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha. Miezi...
5 Reactions
175 Replies
8K Views
Ni kipindi ambacho Mume anamtesa tesa hovyo sana mke wake. Yaani kama mume anamtesa tesa hovyo mke, hiyo ni nafasi nzuri kwa "kuzibua tundu" Ni kipindi ambacho mume ameoa mke mwingine. Hiki...
21 Reactions
84 Replies
20K Views
Leo ni siku ya Wanaume duniani... Mwanaume ni nani? Ni yule anayeweza kujitoa maisha yake bila kutegemea malipo yoyote kutoka kwa familia yake. Mfariji wa familia, Mjenzi, msimamizi, mlinzi...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Wasalaam JF. Naomba nishare story hii iliyoanza 2018 mwez Dec kule Arusha. Kama kawaida mwez wa 12 safari za Moshi, Arusha hupamba moto, hivyo nilisafiri kuelekea Moshi Rombo. Pia nikaenda na...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Ooooooy! Wanang wa Jamiiforums always ndio kimbilio langu Sasa wadau mwanenu Fene kiukwel napenda sana changamoto za kiakili hivy mara nying nikiwaga na wadau wangu kitaa napendelea mazungumzo...
15 Reactions
130 Replies
6K Views
Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma...
17 Reactions
136 Replies
12K Views
Msaada mwenzenu yamenikuta nina sherehe yangu ya ndoa hivi karibuni, Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii[emoji28]nahisi jasho...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapendwa nashukuru kwa muitikio wenu, nimempata mdada mmoja hivi, ni mzuri sana lakini ana gharama sana, bahati mbaya au nzuri ni mkazi wa kanda ya ziwa yaani tupo nae mkoa mmoja, lakini cha...
2 Reactions
142 Replies
12K Views
Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa. Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Aliyekuwa mchezaji wa American football wa team ya New York Jets ,huko Marekani, kijana anayekwenda kwa jina la Zack stacy (umri wa miaka 30),amejikuta matatani baada ya aliyekuwa mpenzi wake...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Abeid akiwa na umri wa miaka 42, amefanikiwa kuwa na kazi, ndoa na watoto. Kazini sasa ni mmoja wa mameneja, na yeye lunch analetewa mezani kwake. Kule ofisini alianza uhusiano wa kimapenzi na...
29 Reactions
53 Replies
6K Views
Guys, nimeletewa kesi hapa nimeshindwa kuitatua peke yangu nikasema niwashirikishe na nyie wakubwa wenzangu. Mdada aliachana na boyfriend wake ajabu ndugu yake ameshikana urafiki na huyo shemeji...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Tunaishi na mdogo wa mama wa watoto wangu, ambaye mi namuita shemeji, baada ya kumaliza kidato cha sita matokeo yake hayakuwa mazuri, nikaamua kumuweka kwenye shughuli zangu ili aendelee kung'ara...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Iko hivi kuna bro wangu ni 27 alianzisha mahusiano ya kimapenzi na mdada 25 hivi kwa lengo la kuoana Mahusiano yamevunjika, na wa kwanza kuvunja ni huyo mdada,akaanza kufanya uchunguzi kwa nini...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom